Nimekosa selection diploma ualimuu msaaadaa?? Jamanii

Nimekosa selection diploma ualimuu msaaadaa?? Jamanii

Joined
Apr 8, 2019
Posts
17
Reaction score
3
Baada ya kukosa selection je kuna round ngapi ? Za selection nacte pia ni lini round nyingine itakuwa online ???
 
Sina majibu ya maswali yako ila kwakua ww ni kijana wa kiume zipo fani za kusoma zenye kipato kikubwa.

Unaweza kusomea heavy duty machine ukawa operator na kutengeneza pesa nzuri tu hasa ukijua mashine kuanzia mbili mpaka tatu....

Nina bachelor degree ya ualimu ila nimeachana nayo na kuamua kubadili fani.
 
Back
Top Bottom