Msaada wa selection za vyuo vya diploma ualimu goverment

Apr 8, 2019
17
3
Natanguliza shukrani kwa wana JF kwa kazi mnayofanya na Mimi nimeapply vyuo vya diploma education vitatu Nina two ya point 20 chemistry, biology zote Nina c vyuo nilivyoomba ni mpwapwa Tc na Songea Tc je na tukuyu Tc je nawezakupata hapoooo???? Pia kama ikiwezekana je ni lini majibu yatawekwa online kwenye profile zetu wakati waliochaguliwa na Tamisemi wameshatangulia vyuoni nini hatima ya walioomba online kuanza masomo na wengine msaada wenu ni muhimu kwangu asanteniii
 
Hata dirisha la maombi bado halijafungwa, Litafungwa tarehe 02 September na majina yatatolewa kuanzia tarehe 08 September na amabao waliochaguliwa na tamisemi bado hawajaripoti vyuoni cz vyuo vyote vitaanza masomo october 15
 
uzi mzuri na mimi nitaka kujua lini majina ya walio apply nacte yanatoka maana wengine wa tamisemi tayari washaenda
 
Hata mimi nimeshangaa kwanini pia hakuomba Afya labda phusics uliharibu?
 
Back
Top Bottom