Recent content by PHILIPLULINDA

  1. PHILIPLULINDA

    Kichekesho: Eti msanifu wa UKUTA ya CHADEMA ni John Mrema!

    Chadema nikikundi siyo Chama
  2. PHILIPLULINDA

    Kichekesho: Eti msanifu wa UKUTA ya CHADEMA ni John Mrema!

    Chadema ni chama ama taasisi? Mtoa Mada hujui kuwa chadema ni kikundi na siyo chama? Hujui? Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  3. PHILIPLULINDA

    CCM kuanzisha TV na redio zao

    Ccm number one ...Wapinzani hamna jipya
  4. PHILIPLULINDA

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Lowasa na team yake wawe wa kwanza kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.
  5. PHILIPLULINDA

    Wenye nyumba za kupangisha kuisoma namba

    Naunga mkono kodi ya nyumba za wafanyabiashara. Mfano hapo Sinza Dar es salaam Kuna biashara ya Hostel za Wanachuo ..Chumba kimoja kina wanachuo ama Vitanda 3Double Dekker ambayo inachukua wanachuo 6 . Kila mwanachuo analipia Elfu 65,000Tsh kwa Mwezi kwa Watu 6 sawa na 390,000Tsh kwa Mwezi kwa...
  6. PHILIPLULINDA

    Gharama za Kupanda mlima Kilimanjaro zipoje?

    Na pia kupanda mlima ni Siku 5 Marangu route Siku 6 Marangu route, Siku 6 Machame route , Siku 8Lemosho route Marangu route mnalala kwenye nyumba na vitanda vimo. Machame route mnalala kwenye Tents . Haya sema ni njia IPI ?Mnataka?
  7. PHILIPLULINDA

    Gharama za Kupanda mlima Kilimanjaro zipoje?

    Ni kama watanzania mmeamua ghalama sio kubwa ila kwa watanzania Ni kiasi cha kusema mpo wangapi ndio mmpewe bei Bei hulingana na idadi ya Watu . Semeni je mpo wangapi niwape bei_? Asanteni
  8. PHILIPLULINDA

    Rais Magufuli ashiriki ibada katika kanisa la Antoni Lusekelo, atoa ahadi ya barabara

    Jambo jema kwa kiongozi was nchi kujumuika na waumini ..Hakika Tanzania INA Rais Makini.
  9. PHILIPLULINDA

    Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Unajua kuwa mtoto was Rais nikama Rais pia? Kwani Mtoto wa Rais ni family ya Rais? Unajua hilo? ...Mtoto wa Rais anaitaji ulinzi mkali na heshima pia ..Hivyo wote mnaomjadili huyo Mtoto nivema mkatambua kuwa heshima ni jambo jema kwa hata mtoto .
  10. PHILIPLULINDA

    Wanasiasa Kumi Wanaonivutia na Ninaowapenda Tanzania

    Uliepost hii mada ni fisadi
  11. PHILIPLULINDA

    Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Nimekupa mkuu siunajua sisi akina Ngosha! Kiswahili kidogo.Asante kwa kuwa mwalimu wangu .
  12. PHILIPLULINDA

    Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Kwanza mtoa mada amesahau kuwa Mtoto wa Raisi anapaswa kuishi Ikuru? Na ikiwezekana awekewe Chuo hapo hapo ikuru.
  13. PHILIPLULINDA

    Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Unataka akae kwako nini? Mbona hufikirii cha kuongea na kuleta mada mbele za watu?
  14. PHILIPLULINDA

    Serikali yapiga marufuku mifuko laini ya plastiki na pombe maarufu ya viroba

    Mifuko ya plastic ni jero imechafua mazira.
Back
Top Bottom