Kwa jinsi hali ya Ufisadi ilivyoshamiri tangu Raisi Kikwete aingie madarakani hastahili tena kuliongoza taifa hili. Kujiuzuru na kufukuzwa kwa watendaji peke yake haitoshi. Kama Bunge halina uwezo wa kujadili masuala yaliyopo mahakamani kwa nini wasitumie nguvu yao kisheria ya bunge kupiga kura...
Sura ya 1 Ibara ya 1(4) ya Rasimu ya Katiba Mpya inasema ''Tanganyika itaitwa jimbo la Tanganyika na Zanzibar itaitwa jimbo la Zanzibar na kila jimbo litaongozwa na Gavana'' Hii ni sera ya CHADEMA ya Majimbo. Cha Kushangaza Mwenyekiti wa Tume alisema Tume haijapendekeza Serikali ya Majimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.