kwa kuongezea tu ni kwamba Pharmacy yeyote iwe ya jumla, au rejareja, au jumla na rejareja, ni lazima iwe na mfamasia aliesajiliwa pamoja na farm technician aliesajiliwa, akikosekana hata Moja hapo hio pharmacy inafungwa haraka na balaza la pharmacy,,
mfamasia aliesajiliwa (registered...
Hayo mashimo ndipo nguzo zinaendelea kusukwa kwa nondo then zege,,
Wameanzia maeneo ya mkuyuni wanasogea kuelekea mjini kati steshen,,
Ulizia mtu anaetoka mwanza atakwambia,, au tumia google map utaona kazi inaendelea.
Simu nilionayo haipigi picha vizuri.
Nidhamu iwepo,
Dodoma ni makao makuu ya nchi,,
Mwanza ni jiji la pili la kibiashara baada ya Dar es Salaam,,
Arusha ni jiji kuu la kitalii Tanzania.
Hapa ni jiji la Mwanza,
SGR inapita juu kama Dar es Salaam.
Km kadhaa juu kwa juu mpaka station.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.