Recent content by PHES

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Habari! Ulisha pata mzani digital kilo 150?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wide range consultancy services

    We are offering a wide range of Consultancy services in regard to Business Planning, Management and Strategy, Finance and Accounting, Human Resources, Legal, Operations and Logistics, Sales and Marketing, Real Estate and Forensic Investigation.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Marekani: Maxence Melo apata tuzo ya 'International Press Freedom' kutoka The Committee to Protect Journalists (CPJ

    Hongera sana, kuna changamoto lakini usikate tamaa! Tuko nawe bega kwa bega.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Wanafunzi, Mwalimu na Mlinzi wa Shule ya Katoro Islamic, Wafikishwa Mahakamani kwa mauaji

    Bila hivyo, moto wa jehanamu utazidi kuwa mkubwa,
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Uchimbaji mafuta Uganda yavunja Mkataba na TOTAL. Je, maslahi yetu kwenye Bomba la Mafuta yatakuwaje?

    We need short, clear and precise answers like this. Thanks.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kupinga wagombea wanaopita bila kupingwa kutangazwa washindi kuanza kusikilizwa leo

    Tusubiri mtafsiri wa Katiba na Sheria afanye kazi yake, fuatilia yatakayojiri tarehe 9!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Wanafunzi, Mwalimu na Mlinzi wa Shule ya Katoro Islamic, Wafikishwa Mahakamani kwa mauaji

    Kwa kweli nimesikiliza hii inasikitisha sana. Mungu aturehemu, hakuna haki hata mahakamani!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Wanafunzi, Mwalimu na Mlinzi wa Shule ya Katoro Islamic, Wafikishwa Mahakamani kwa mauaji

    Eeh! Mwenyezi Mungu uwaondolee shetani huyo na kuwasamehe kisiwa kisizame.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Wanafunzi, Mwalimu na Mlinzi wa Shule ya Katoro Islamic, Wafikishwa Mahakamani kwa mauaji

    Roho ya Marehemu Ipumzike kwa Amani, Amina.
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anavyoshusha thamani yake kirahisi sana

    Amesema jitunze kama uko kwa wazazi. Msisitizo, usifanye chumba chako kuwa gheto.
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anavyoshusha thamani yake kirahisi sana

    Wengi wanakosea kuwaza ulivyo leo, sio mtakavyo kuwa kesho.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anavyoshusha thamani yake kirahisi sana

    Somo kwa mabinti zetu!
  13. P

    JamiiForums Tanzania UBAKWAJI WA TELEZA: Daktari alisema tumekuwa wagumu ndio maana tunaingiliwa; jamii inatushutumu kula pesa za wanaume na kuwakimbia

    Sio Wapelelezi tu wa kulaumiwa, ni jamii nzima kwa ujumla. Inakuwaje jamii inayomzunguka badala ya kumsaidia inaishia kumtenga na kumkashifu kwa majina yote mabaya? Upendo umeisha hivyo kupoteza utu katika jamii zetu.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Acha uvivu, mwongozo Ni kuongeza nguvu kusoma. Tena soma kwa bidii walau vitabu 4 vyenye nondo zote!
  15. P

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Bado Uko level ya atec hapa, endelea kujifunza. Ukifika module F utakuwa vizuri tu. Polepole ndio mwendo.
Back
Top Bottom