Recent content by Pharynx

  1. P

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya dhahabu Botswana

    We simulia kila kitu bana anayetaka stori fupi atachagua vya kusoma mwenyewe
  2. P

    JamiiForums Tanzania Embu mnijuze mliowahi kufika na kuishi Rwanda, Zambia

    Vipi biashara ya vitenge kwa upande wa zambia nikivitolea bongo?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Kumbuka 120 ya basi inaweza ikawa 200 ya brevis
  4. P

    JamiiForums Tanzania Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Enzi za scania panyabuku kama sabco
  5. P

    JamiiForums Tanzania Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Hiyo ya Windhoek to Katima mulilo nimeshuhudia mwenyewe tulikua na Audi s7 twin turbo spidi 320 masaa 9 tumetumia kwa kilometa 1400
  6. P

    JamiiForums Tanzania Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

    At least camon 16 premier
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

    Hata parachichi wanagonga fresh
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

    Umenikumbusha mbali asee, kiding’a mambo ya kupiganisha mbwa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Matajiri wa Mikoa ya Kaskazini na Kusini mwa Tanzania

    Aisee meku hebu kunywa eagle moja hapo nakuja kulipa
  10. P

    JamiiForums Tanzania Arusha: DC Kenani awachapa mboko wanafunzi 3 kwa tuhuma za kuiba madawati 108 na kuyauza kama vyuma chakavu

    Sinoni hatari sana kuna denti alishawahi kuniibia na hakuna mtu hata mmoja aliyembaini mpaka alipoonekana na mali mtaani
  11. P

Back
Top Bottom