Habari zenu:
Nimepangiwa shule ya Ifunda Tech ya Iringa
Naomba kama kuna mtu anafahamu taratibu za kujiunga, mazingira, taaluma na malezi kwa ujumla anisaidiee
Na pia kama kuna mwanafunzi mwenzangu kapangiwa uko tuwaclianee
Namba zangu ni 0683849898
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.