1. Mwishoni mwa mwaka jana serikali kupitia TCRA ilitangaza kupungua kwa gharama za mawasiliano toka tarehe 1 mwk huu. Binafsi nilitegemea mabadiliko kwenye bei za vifurushi but sijaona hvyo. Naomba anaelewa anipe ufafanuzi
2. Serikali ilitangaza free to Air channels nakuzitaja decoder...
Anaandika Bony Mmbando.
Ninaupinga mtazamo wa kiuchumi wa Mh Edward Lowassa juu ya serikali ya JPM na utengenezwaji wa Ajira nchini.
Swala la Ajira niswala ambalo ukuuaji wake unategemea Zaidi kupanuka Kwa uchumi. Kama uchumi wa jumla unapanuka ni rahisi kuzalisha Ajira kuliko ilivyo sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.