Recent content by phanta

  1. phanta

    JamiiForums Tanzania Dawa hii kuna mwenye taarifa zake?

    Mssada wa hii bidhaa
  2. phanta

    JamiiForums Tanzania Winbox software for internet

    Hhi router nilipewa nimeitumia sana ila baada kuapdate cm yangu imekataa kukonet inadai passwd jambo ambalo ndani ya miaka 2 halikuepo
  3. phanta

    JamiiForums Tanzania Application za mkopo HESLB

    Kuna kijana hyu amesoma shule ya kata rombo mamsera kilimanjaro alipt dv 1 akapangiwa advance bukoba akamliza na 1 yapoint 7 akaomba chuo mwaka jana akashindwa kwenda kutokana na kiwango cha mkop MWAKA KAOMBA TENA IFM KAPAT HADI SASA BADO AJAENDA KWA VILE AJUI ATAPATA MKOPO % NGAPI WAZAZI WAKE...
  4. phanta

    JamiiForums Tanzania Msaada pc yangu haidisplay lakini kwenye kitufe cha kuwashia imewaka

    Nina computer yangu hp i3 core power suplie imekufa nikanunua nyingine used ila imewaka ila sasa inawasha tatizo inazunguka high speed kama ime overload muda wote hapa tatizo nini inavuma muda wote
  5. phanta

    JamiiForums Tanzania Msaada pc yangu haidisplay lakini kwenye kitufe cha kuwashia imewaka

    Mkuu upo active mkuu
  6. phanta

    JamiiForums Tanzania Uchafu kwenye uti wa mgongo

    Mgonjwa wangu anasumbuliwa na mgongo juu ya kiuno kidogo alipiga xray wakamwambia pingili azina shida ila ana uchafu pembeni ya uti wa mgongo dawa kamaliza ila bado anapata maumvi je hii utokana nini na tiba yake asanten sana
  7. phanta

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mtoto akamatwa na polisi chini ya basi lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Arusha

    Hakuna joto aliwezaje kukaa umbali mrefu kiasi hicho anakuwa sehemu gani?
  8. phanta

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamruhusu mwalimu Oluoch (Msabato) kutokushiriki usafi siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi

    Tunaomba pia turusiwe kufanya kazi kabla ya saa nne asubhi ikiwa tu umefanya usafi eneo lako maana baadhi ya watu hawafanyi usafi na kaz awafanyi je lipi jema kuweka MAZINGIRA. SAFI NA KUWNDELEA KUTAFTA MAISHA ILI KUKAMILISHA DHANA YA HAPA KAZI TU KUANZIA SAA KUMI NA MBILI HADI SAA NNE ASUBHI NI...
  9. phanta

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia Airtel kwa matumizi ya Internet mtuambie ina kasi gani?

    voda mi nimewaelewa sana kwenye 3G na 4G hapa dar saf nilikaa rombo mwezi mmoja nilikuwa natumia 3G sawa na Dar unaangali vitu live bila kukwama
  10. phanta

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo risasi nane zilizotolewa mwilini mwa Lissu nchini Kenya, nje ya 5 zilizotolewa pale Dodoma

    Duu hatari sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. phanta

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mchaga na Mkikuyu ni kabila moja?

    Sio kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  12. phanta

    JamiiForums Tanzania Kwa nimjuavyo Mbowe, Lissu ataondolewa kama Zitto kuelekea uchaguzi mkuu wa CHADEMA

    Zutor alipiga hela ni mamluki mpaka kesho Sent using Jamii Forums mobile app
  13. phanta

    JamiiForums Tanzania Diallo amesema hawezi kuwalaumu TRA kwa Kufunga shughuli za Sahara Media

    Atalipiwa Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom