Recent content by ph_

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    Nice story
  2. P

    JamiiForums Tanzania Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu!

    Nani akome sasa?? Watanzania kama vinyonga-sijui huwa mnawaza nn vichwani mwenu.!!!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja CCM kwisha

    Ila tambua kuwa wapiga kula c wana ccm pekeyake. Weka uchama pembeni, kiongozi wa sasa ni sahihi kwa wa TZ-kama na ww ulikuwa mpigaji dili pole sana. Kwa cc watu wa chini-hakuna madhara yoyote yale. Kutoa magufuli kwa sasa unahisi nani anafaa kuongoza hii nchi?? "Poor politics."
  4. P

    JamiiForums Tanzania Upinzani tubadili mbinu tuanze kuandaa 2020 kweupe kabisa

    Haya ni Yale unayoyawaza ww-Ila tz ya Leo c ile ya 2015 na miaka iliyo pita. Kushindwa uraisi kwa Magufuli 2020 ni sawa na babadiliko yaliyo tokea Libya-Magufuli c wakupigwa kwa sasa, tusiishi kwa kutegemea kupiga dili, siasa tukiiyendekeza sana ni mbaya katika maisha-machafuko mengi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yanayomkuta Lema yawe fundisho kwa wanasiasa wengine

    Mmmmhhhh!!! Kweli kazi ipo-kwa style hii. Ushabiki Uchwara.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Kampuni za cm ndizo zinazo katwa-kama ukinunua mia tano, inakatwa VAT wanakuletea SMS ya hiyo kodi-lakini ww muhusika Salio lako linabaki na thamani ile ile. Fuatilia utagundua.
Back
Top Bottom