Recent content by petrop1

  1. petrop1

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Njo nahuo mtaji moshi kaka nkuoe fursa
  2. petrop1

    KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Tatizo kama hili liliwahi kunipata,,Baadhi ya Dawa Zina kemikali inaitwa #Sulphur...watu wengi wana mzio nayo ukigundua una mzio na hii kemikali waambie madaktari kuwa una mzio utapewa dawa stahiki
  3. petrop1

    Chawa wa kichwa wananidhalilisha naombeni msaada

    Nimefuatilia comment za ugonjwa uliompata mama yako..kuna mtu kasema yawezekana ana minyoo?je niongee unayoniongelea hapa?nianzishe mada kuonesha mazingira ya minyoo?Nilishabadilika ndo mana namuomba Mungu Mwenyezi akubariki sana..mama yako ni Kama mama yangu simlaumu siwezi hitimisha chochote...
  4. petrop1

  5. petrop1

    Chawa wa kichwa wananidhalilisha naombeni msaada

    shukrani kaka..na hiyo ilikuwa sababu ya mimi kuacha shule maana nlipopatwa na tatizo mwaka 2012 nlianza kuhisi vitu vinatembea mwilini...nlikomaa na shule mpaka nlipofanikiwa kumaliza..nlipomaliza tatizo liliisha maana nlihama bweni nikarudi nyumbani...matokeo yalitoka nmefaulu nkaenda shule...
  6. petrop1

    Niulize swali lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro

    Kwa sasa njia ya kilema ipo
  7. petrop1

    Chawa wa kichwa wananidhalilisha naombeni msaada

    sawa..asante sana kwa ushauri wako
  8. petrop1

    Chawa wa kichwa wananidhalilisha naombeni msaada

    nmekubali matusi yako yote.. Namshukuru Mungu kwa yote names mba anipe uvumilivu kwa kuwa amekubali niijue dunia na nione tabu za huku duniani..zamani nlikuwa kama wewe..mwepesi kutoa majibu mwepesi kuhukumu nao kuona makosa ya watu...nlikuja kupata hili tatizo..hakuna kitu sijafanya nmetumia...
  9. petrop1

    Chawa wa kichwa wananidhalilisha naombeni msaada

    sijafuga nywele kaka..miaka 8 niwe mchafu kweli?
  10. petrop1

    Chawa wa kichwa wananidhalilisha naombeni msaada

    Mungu Mwenyezi Muumba wa vyote akupe unachomwomba wala asikufiche uso wake
  11. petrop1

    Chawa wa kichwa wananidhalilisha naombeni msaada

    mama yako ana tatizo linalowasumbua kichwa..Mimi nina tatizo linalonisumbua kichwa...je unajuwa nafahamu mtu mwenye dawa inayoweza kumponya mama yako moja kwa moja?
  12. petrop1

    Chawa wa kichwa wananidhalilisha naombeni msaada

    poa bro ngoja kesho nifanye mloelekeza shukrani sana
  13. petrop1

    Chawa wa kichwa wananidhalilisha naombeni msaada

    nakumbuka nlipata hili tatizo baada ya kuota kuna paka anakuja kunirukia nlivoshtuka nikawa kweli nmechanjwa usoni na utosini..waganga nlienda kwa mmoja mara Kama 5 hivi kila nkifika anapiga chenga naambiwa hayupo..mwingine nlitibiwa lakini chawa hawakuondoka nlipona matatizo mengine ambayo...
Back
Top Bottom