Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku.
Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi.
Ombi langu kwa serikali yetu kupitia tonroad wafanye mpango wa kujenga kuchora njia 3 toka around about ya goba mwembe madole...
1 WAKORINTO 6
1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu?
2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
3 Hamjui ya kuwa...
Yes! nimesoma kitabu chote kimenibariki sana kwa Neno la Mungu, sijaona hata Maneno au habari mbaya zilizo na viashiria vya ushoga hakika. Nimebaki najiuliza waliompa taarifa Mkuu wa mkoa JE ni rangi ya nje ya kitabu au rangi ya mipira maana pia Haina rangi za upinde wa mvua (Rainbow)
Kwa...
Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone).
Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla.
Bandari hii inajengwa...
Tatizo umeme sio wa uhakika mfano unapika ugali mara umekatika si utaishia kunywa uji ndio maana watu wengi wanaishia kutumia gesi inakuwa na uhakika chakula kuiva bila shida
Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),
Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.