Recent content by petrinamwana

  1. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania Naona kuvunjika kwa Moyo kwa Mawaziri wa Rais Samia

    Mama kacheza 4.4.2 jafo alikuwa kipenzi cha magu na miradi mingi ya magu anaijua kindaki ndaki kamsogeza kwake kule tamisemi angempiga umi ataweza kumcontrol tamisemi kwa wapigaji kabudi kusafiri na deshideshi kumemponza
  2. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Chuma kimeondoka imebaki kama mchezo wa kuigiza. Any way liwalo na liweeee kile chuma kikiongea mwili unasisimka huku akimalizia Uniombeee uzitohofu umungu ndani yake labda Mungu ameruhusu kumchukua tujue kutofautisha
  3. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mkumbuke kuna umama ndani yake.ukilijua neno Mama ndani yake kuna huruma
  4. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Yupo tena na joho lake kimsistizo
  5. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Haya je huyu atakubali ile hali waliyokuwa wanataka jamiii ya siri..?kanuni yao no tatizo + uvumbuzi. Mkubwa aligoma tatizo la kwanza Ye kakasemaMungu Yupo.... wakamchukua aliyemuweka.. la pili mkubwa kagoma... wakamchukua yeye... sasa huyu atakubali??? Au naye watamchukua wamlete wao Mr...
  6. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

    Mlie tu basi kwa taharifa yenu .......kasimu yupoooooooo palamagamba yupoiiioojiii na yule wa ardhiiii yupoooo hata jafoooo yupo sana hata mkiloga kati yao makamu wa rais
  7. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Akichaguliwa makamba umeme bwawan tusahau ingekuwa majaliwa ingekuwa poa sana
  8. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Lissu si walikwambia Nyumbani kumedamshi rudi... nawe Lissu tunakupa miaka miwili tu mkadashiane huko huko dunia tunapita mbona
  9. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

    Sisi tunasikia raha pale utapofungua Wallet tu kutoa pesa Mwanamke ni pesa tu ndo raha .hutoi pesa alafu unataka mwanamke asikie raha wee ulisikia wapi
  10. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Wenawe Mnyika unajisaulisha kipindi kile unaruka ukuta shulee ya loyola ili upate kula si kura leo Halima karuka ukuta bungeni ili nao wapate kula unabweka nini shida nilikuwa simpendi halima Mdee ila kuanzia sasa ni heko kwake hayaaa Huyo Lissu yupo huko Ulaya anakula pancake na nawazungu Mbowe...
  11. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania Dar: Mabasi ya Mikoani na nje ya Nchi, yaanza kutumia Kituo kipya cha Mbezi Luis

    Ebu tulieni mfanye kazi kwa kutulia mtachafua kituo barabara za nje ni tope kama lote msifanye abilia wachanike misamba alafu mjipange vizuri kuhusu bei za frem si kwa kukomoa etiii mnada basi matajiri ndo watapangahizo frem
  12. petrinamwana

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sikuondoka CHADEMA bali nilifukuzwa

    Zitto nawe ukae kwa kutulia nawe tupe ya Membe mlivyolikoroga.
Back
Top Bottom