Recent content by petpat

  1. P

    KERO Kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaohitaji kujifunza kwa vitendo katika taasisi za serikali ni sahihi na uungwana?

    Pale hospitali wanafunzi hawa watapata huduma mbalimbali, mf. Kuna vifaa watatumia wakati wa mafunzo lakini pia kufundishwa na watumishi waliowakuta. Hospitali husika huwa inatoa motisha mbali mbali kwa watumishi wake, hivyo lazima ikusanye mapato ili kufanikisha majukumu yake. Moja ya vyanzo...
  2. P

    Unadhibiti vipi Biashara yako? Wafanyakazi wasikuibie? Soma hii

    Huu uzi uliishia hewani, hiyo eDuka inapatikana vipi, akina nani wahusika
  3. P

    Ujenzi wa nyumba kwa bajeti ya milion 5

    Unaweza ukashindwa kuhamia ila itakuwa imesogea, probably utakuwa umepaua, hivyo ukiongezea kidogo 6-10 unaweza weka madirisha/ grill na lipu na rough ukahamia
  4. P

    Msaada: kuezeka nyumba yenye square metre 371 gharama kiasi gani?

    Najaribu kufikiria ukubwa wa nyumba 371msqr, kwa haraka haraka ni 19×19m, hivi hiki bado ki kibanda!!! Ebu ipe hadhi nyumba yako bhana
  5. P

    Ramani kali ya nyumba toleo jipya

    Hii ndio ramani?
  6. P

    Asas na Hanspope mgombea wenu Jimbo la Kalenga hajaomba ruhusa kwa mteuzi wake msitudanganye wahehe tuna shida zetu

    Basi stori yako ni ya kuungaunga, watia nia wengi wanajulikana, na wengine walikuwa katika majukumu mengine ya kiutumishi na sio siri tena. Kwa hiyo kuficha jina sioni kama ina athari sana
  7. P

    Asas na Hanspope mgombea wenu Jimbo la Kalenga hajaomba ruhusa kwa mteuzi wake msitudanganye wahehe tuna shida zetu

    Tuambie jina la huyo mgombea ili kupima uhalisia wa maneno yako
  8. P

    Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

    Kabla hawajaja wa kushauri juu ya aina ya mashine, ni vema ukayajua haya machache Soko lako li wapi, ukianza na upatikanaji wa walighafi (mahindi) yenyewe utakapoyapata kwa bei nafuu ili kupunguza gharama za uzalishaji, pili sehemu uliotageti kuuzia product (unga) wako. Ni vema sehemu...
  9. P

    CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Kama ndio hivi basi aliyetakiwa kutoa tangazo la kuzishusha ni hao wahusika uliowataja, wote hao (Tanroad na Tarura) hawako chini ya DED
  10. P

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Kufanya jambo ilhali unajua kile unachokifanya kimenajisiwa kimaamuzi na bado ukaendelea kukifanya utakuwa huitendei haki akili yako. Badili muundo wa kukifanya, kususa ni sehemu mojawapo, uchaguzi sio huu tu hata 2025 tutapiga kura haina tatizo.
  11. P

    Uchaguzi ni wa nini basi?

    Kwa Tanzania uchaguzi wa haki bado sana. Kiukweli sioni haja ya kujiandikisha zaidi ya kupata kitambulisho kwa ajili ya shughuli zenye kuhitaji uwepo wa kitambulisho, ila si kwa kupiga kura.
  12. P

    Kura ni kitu cha thamani; Wananchi msipoteze kura zenu na kuhatarisha Maisha yenu

    Acha wachaguane, wananchi tukutane 2025
  13. P

    Wapendwa na nmeanza kutengeneza chaki, sasa nashida na upatikanaji wa box kwaajilo ya packing

    Kwenye heading kuna chaki, maelezo kijana wa upambaji, uko makini kweli??? Sasa usaidiwe lipi kati ya hayo
  14. P

    Kwa Ujenzi huu, Jiji la Dodoma litachoka mapema sana

    Umemuelewa mwandishi kweli?
Back
Top Bottom