Wakuu kama kichwa cha kinavyoeleza. kama, binafsi mimi ni muuzaji wa bidhaa za ujenzi ambazo naweza kuzijumauisha katika makundi makubwa matatu, bithaa za umeme, bidhaa za mabomba ya maji safi na maji taka, finishing material, na hardware za kawaida. Napatikana bunju na mapinga njia panda ya...
Mm nmejioji hilo swala mara shende, the way i see it, Sio sawa kutumika km kauli mbio ya shiroka la ndege. Shirika lilitakiwa litumie kauli mbiu zake za kibiashara na wala sio ilan ya chama!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.