Recent content by Peterson jr

  1. P

    Nadiriki kusema CCM ni genge la walanguzi

    Nashukuru umekubaliana nami lowassa no zao LA ccm na bado anakadi ya ccm. Ccm no sawà na genge LA wanyang'anyi
  2. P

    Nadiriki kusema CCM ni genge la walanguzi

    Amani iwe nanyi, tangu tupate uhuru watanzania tumeongozwa na ccm na kuna kila dalili tutaendelea kuongozwa na ccm tena safari hii tutaongozwa kwa mabavu. Nimetafakari Kwa kina na kugundua chama cha mapinduzi ni genge la wezi waliotubia kwa takribani miaka37 na bado wanalindana na kuendelea...
  3. P

    Bila CHADEMA imara, Leo hii tusingeongozwa na Magufuli

    Ndo tuwaombe na kuwataka wasiue upinzani tutakua gizani watz
  4. P

    CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

    Mhere Mwita Wameshamtumia wamemdampo, km hawapo vile
  5. P

    Bila CHADEMA imara, Leo hii tusingeongozwa na Magufuli

    Amani iwe nanyi, ni takribani miaka miwili tangu uchaguzi mkuu umalizike 2015. Ukweli usiopingika ni kwamba bila CHADEMA imara na Muungano wa vyama vyama "ukawa" Leo hii magu asingekuwepo ikulu. Namshari mtukufu na ccm kwa ujumla kwamba wasiue upinzani wawaruhusu nao wafanye siasa kama CCM kwa...
  6. P

    Lowassa asisubiriwe anogewe na midundo, arejeshwe alipotoka!

    Amani iwe nanyi, kitendo cha lowassa kutoka hadharani na kumsifu kumpongeza mwenyekiti wa ccm kwa kazi nzuri aliofanya ya kupiga marufuku mikutano ya kisiasa, kuua separation of power na kamata kamata ya wapinzani na kuua Uhuru wa kujieleza in cha kushangaza kwani kabla ya hapo kulikua na tetesi...
  7. P

    Watanzania tutakubali Rais Magufuli ashauriwe, hatutakubali atukanwe

    Usilotaka kufanyiwa we usimfanyie mwenzio
  8. P

    Mgodi wa makaa ya mawe pale Kiwira ulirudishwa Serikalini au bado ni wa Mkapa?

    Amani iwe nanyi, napenda kuuliza maana kuuliza sio ujinga. Hivi ule mgodi wa makaa ya mawe pale kiwira ulirudishwa serikalini au bado ni wa mh mkapa? Pia napenda kuuliza ile mitambo ya Richmond pale ubungo ambayo imebadilishwa jina sasa inaitwa DOWASI ni Mali ya serikali au bado ni ya mh...
  9. P

  10. P

    Hakika anaumwa tumuombee apone

    Watu wasiojulikana ndo we mmoja wapo natamani nikutusi.
  11. P

    Kususa kwa Dk. Slaa: Mtumbwi wa kisiasa wa CHADEMA unazama?

    Mikutano yote ya siasa ntafanya mm2 wakifanya wengine ni wachozi, mbona unawashwa? Niache nainyodha nchi, uniombee, pia huwa cjaribiwi.
Back
Top Bottom