Recent content by Peterson 007

  1. Peterson 007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Unaweza kunitumia boss?
  2. Peterson 007

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

    Aya hii inafundisha kuwa iwapo waumini watajitolea kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu – kwa moyo, maneno na matendo – basi Mwenyezi Mungu atawaunga mkono na kuwaimarisha katika maisha yao yote ya duniani na Akhera.
  3. Peterson 007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona Simba vs Tabora

    Awesu fundi
  4. Peterson 007

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki mnazingua, michango imekuwa kero

    Ukiona muumini analalamika kuhusu michango/sadaka ana asili ya uchoyo na ukiona madhabahu muda mwingi inahubiri kuhusu sadaka bhasi kuna mahali imeyumba
  5. Peterson 007

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

    Mwezi? Umejitahidi sana kuvumilia aisee
  6. Peterson 007

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, vitabu ni chakula muhimu sana cha akili

    Nilisoma kitabu kinaitwa "Jijenge kimawazo" mwandishi ni Clement Fumbuka,kilikuwa kitabu kizuri sana nani anamjua mwandishi huyu na vitabu alivyoandika upatikanaji wake?
  7. Peterson 007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Kwann wewe ni malaya lakini?
  8. Peterson 007

    JamiiForums Tanzania Machache usiyoyajua kuhusu filamu ya "Kuch Kuch Hota Hai"

    Chai
  9. Peterson 007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

    Kutwa nzima wao ni marudio ya vipindi tu
  10. Peterson 007

    JamiiForums Tanzania Baba yangu mzazi amepangisha chumba changu

    Chai
  11. Peterson 007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Story nzuri
Back
Top Bottom