Recent content by Peters Chacha

  1. Peters Chacha

    Ningependa kujua kwa undani kwanini Siasa za ujamaa huwa zinakwama?

    Kawaulize Wachina[emoji16][emoji16][emoji16]
  2. Peters Chacha

    Tukio la Lissu: Dhana 3 za msingi ambazo zinatokana na ‘mchujo’ wa dhana mbalimbali

    You are so smart, kwani wengine wanaandika tu kwa hisia. Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
  3. Peters Chacha

    Rais Duterte apanga kuzuia makinikia kusafirishwa nje ya nchi na kutoza kodi za mwendokasi migodini

    [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Peters Chacha

    Trump atoka kwenye mkutano wa G20 na kiti kukaliwa na mwanae. Kisa utawala mbovu wa viongozi Afrika

    May be there is logic in this Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Peters Chacha

    Kamati ya Profesa Osoro na uelewa wa Multinational Corporations

    Samahan kaka, et wewe unaishi ulaya au marekani? Nauliza tu.[emoji1]
  6. Peters Chacha

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    Hahahahaha! Dah ama kweli siku ya kufa kwa nyani, miti yote huteleza
  7. Peters Chacha

    ACACIA: Tuko tayari kufadhiri utafiti wa ujenzi wa kiwanda cha kuchengua makanikia

    Simuamin tena Tundu Lissu, na ngoja uone this time around atakavyoaibika
  8. Peters Chacha

    Machali: Watu kama Tundu Lissu, Magufuli angeamuru wachapwe bakora

    Vipi kama miwani aliyovaa inayonyesha kuwa tunazama, wakati ndo tunaibuka? Shida kwasasa si nani aliepitisha kibaya, shida ni pale wazuri wanapotaka hata hicho kibaya kisilekebishwe kwa mwanvuli wa kuleta madhara,.. what if hayo madhara is the only envitable sacrifice we need to go through...
  9. Peters Chacha

    Machali: Watu kama Tundu Lissu, Magufuli angeamuru wachapwe bakora

    Sikushangai, kwakuwa najua si tu umependa uzuri wake, bali mpaka hata ujinga wake.. unataka kuniambia hakuna zuri lolote katika kuzuia mchanga huo? kwan hujui hoja za chadema kwa mda mrefu kuhusu rasilimali? Umeisoma katiba ya Chadema? Kwani Sila hakuwa kama Tudu lissu? Unajua sasahivi yuko wapi...
  10. Peters Chacha

    Machali: Watu kama Tundu Lissu, Magufuli angeamuru wachapwe bakora

    Mimi nina mashaka na chama cha Chadema, nilikuwa nawaamini sana, lakin baada ya Sila kushndwa urais na kukimbilia Canada, kwasasa sitashangaa kumuona Lissu akihama nchi baada ya kumaliza kazi yake aliyopewa na how Mabepari, kwani walijua kuwa ni moja ya wanasheri wakubwa na wanaoweza kugundua...
  11. Peters Chacha

    Chama cha Wafanyabiashara wa madini Tanzania waipinga ripoti ya mchanga, wadai Taasisi huru

    Wamehongwa mapema tena asubuhi.. ACACIA kaona hapo ndo njia pekee ya kuingilia
  12. Peters Chacha

    Sakata la mchanga wa madini

    Hago nadhan hata Chenge mwenyewe hachomoki coz ndiye alikuwa mwanasheria wakat wa kusaimi mikataba hiyo
Back
Top Bottom