Recent content by Peter kenny

  1. P

    Ndugu zangu naomba ushauri

    Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 ila sikufanya vizuri kwa kupata divition four ya 30 yani civ-D geo-D his-D eng- kisw-D math-F bio-F ila kutokana na hali ya kimaisha ya familia siku tafuta chuo chochote ila mwaka jana nikaona vema nirudie mtihani lakini pia mambo yamekuwa mabaya kwani...
  2. P

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    Waislam wajue kuwa uvumilivu huwa una mwisho kwa hiyo wasipo taka suluhisho tutawachoka na huo ujinga wao wanao ufanya wote ni watanzania ningependa binafsi tuishi kwa aman ila wakiendelea ya nigeria yatakuja TZ
  3. P

    NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

    Habar mnazipata wapi jamani acheni uzushi!
  4. P

    Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Ahsante! Vp mbona kwenye mtandao hayaonekan? Au kama yapo 2wekee link yake tafadhali
  5. P

    Radio imaan ni zaidi ya shule

    Kweli redio iman ni nzuri kwa sababu ni moja ya chombo ambacho kinafanya kazi ya mungu pamoja na kuelimisha jamii kiujumula lakini tatizo ni moja tu UDINI iaache kwa sababu zaidi itangaze maneno ya mungu hapo tutaendele lasivyo hamnakitu tutakacho kifanya zaidi ya kusababisha machafuko,ni hayo.
  6. P

    Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    Hanaga mwisho labda uchoke ww na kuamua kustop ila kama unauwezo wa kuendea unaendelea tu mpaka utakapo ona unacho kitafuta umekipata.
  7. P

    hodi humu ndani!

    Hodiii! hodiii!
Back
Top Bottom