#dafitips
Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM
https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ
Video 👆🏿👆🏿👆🏿
Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu...
TWAHA MWAIPAYA ACHA NIKUSAIDIE KIDOGO.
Na.
Peter Dafi.
Bukene, Nzega, Tabora.
Ulipokuwa Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora Ulisema Pesa za Kufa na Kuzikana za Jeshi la Polisi Zimeliwa na CCM.
Huo ni Uwongo na Acha Nikujuze kuwa Hakuna Mkono wa CCM au Mwana CCM umeshika Pesa za Jeshi la Police...
Imani inaniambia huenda Bado tukawa na Mwingine Mkubwa na Mzuri wa namna hii, Lakini Nawaza tu Sijui ni lini tutaacha Kuuwa Hawa Nyoka kwani Kimsingi tunaweza mfukuza akaenda Porini huko ili kumtunza na tukawa na Utalii Mzuri wa Nyoka hawa baadae. Mfano tukiamua kuwatangaza hawa tunaweza tukawa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema.
Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri Badala ya Akili/Ubongo.
https://www.instagram.com/reel/C2UvdMwtYtD/?igsh=ZWNpZmN3OW8wdHJq
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka...
Katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda amtembelea Mwadhama Kardinali Pengo Nyumbani kwake.
Lengo ni kumjulia hali na zaidi kuchota Hekima na Busara mbali na hayo!
Kubwa zaidi ni Kujikabidhi Mbele za Viongozi wa Dini ili nao wamuombee na Kumtakia Mema zaidi katika
utendaji kazi wake kwa nafasi hi ya...
Katibu Mwenezi wa CCM ana Majukumu ya Kujenga Chama Tanzania na Kuimarisha Matawi yote ya Nje ya Nchi. Nakukumbusha tu kuwa Katazo la hao Mabeberu halina Maana yoyote kwa CCM wala kwake Paul.
Anaichapa kazi na Maisha yake yanakwenda vyema sana bila hilo Taifa la Marekani.
Wewe angalia Siasa ya...
MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI.
Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam.
Viongozi, Wanachama wa CCM...
Prof Maluma hapaswi Kulaumiwa kabisa, Binafsi namuelewa sana shida ni Mkataba ambao unamlazimu autetee kwa Vifungu kinzani ambavyo vinazidi Nguvu ya Mkataba wake hata ungekuwa wewe ungefanyaje apo.
Tunapaswa Kumpongeza kwa Ujasiri na Uimara wake kuendelea Kutetea na Kusimamia Misimamo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.