Recent content by PETER COSTANTINE

  1. P

    UWEZEKANO WA KUPATA ADVANCE KWA DVS IV YA 26

    Kwenu wapendwa Mimi nimepata Phy D Chem C Bio C Geo D Math C na mengine yote yalIobaki nina "C" kwani itakuwaje naweza kwenda shule ya serikali na comb. Ipi ya science imekubali hapo??
  2. P

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Habari! Wana Jf hivi ni kweli wale wahitimu wa kidato cha nne mwaka huu ambao wamepata div. 3 ndo wanaenda teaching(primary)?! Mimi nina div.2 Kwa alama hizi naweza chaguliwa serikali na comb. Ipi ya science?? Bio C Phy D Math C Chem C Geo D Halafu mengine yote yalobaki nina "C"
  3. P

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Ahsante kwa ushauri wako ndugu
  4. P

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mimi nina alama zifuatazo.! bio_c math_c phy_d chem_c geo_c Je,hapo comb. gani imekubali wakuu..
  5. P

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Jaman wana jukwaa naomba mnisaidie nmepata DIV.2.. eti kwa alama hz naweza unda comb. ipi Ya science. Bio.C Chem.C Geo.D B/math.C Phy.D mengne yote Ya art nmepata C ushaur jaman.
Back
Top Bottom