Habari wana JF?
Kunaswali kidogo linanichanganya ningependa kupata msaada.
Kuna karatasi za payment information unakuwa unapewa ambazo zina control number. Hizi namba ndo unakwenda kulipia bank au vp.??
Maana kuna document linaonesha namba za malipo kwa kila bank. Hivi hili halitumiki au vp.?
Habar wana JF.
Mimi ni mzaliwa wa Lindi ila nimekulia Zanzibar sana. Sasa nataka kwenda RITA ila sipajui iko mtaa gani Dar es Salam naombeni msaada.
Na pia nataka kupajua bodi ya mikopo ya elimu ya juu pia inapatikana mtaa gani hapo Dar es salam.
Sitaki majungu naombeni msaada tafadhali
Yaaan sijui niseme nn . Mbona Waislam wa Burma wanaonewa hamuwaombei dua. Nyinyi mnaosoma Albadir Mungu anakuoneni.
Kuna waislam kibao wanauliwa ovyo wanakufa kwa njaa mbona hamukai mkaanza kuwaombea dua.
Acheni Unafiki na Dini yenu.
Neno langu la mwisho Sadaka Huwanza nyumbani. Sio kwa jirani
Habari wana JF,
Tanzania ni nchi ambayo tumebahatika kuwa na rasilimali nyingi sana.
Tumshukuru Mungu kwa hili. Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni gesi asilia.
Wakuu nataka kujua vipi hii gesi inanufaisha Watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.