Recent content by Perrez Amanaya7

  1. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Mkuu kwani ww TAA huku fanya ile ya customer Dodoma..?
  2. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    TMO ya assistant mkuu sio..?
  3. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Hahahaha mkuu hiyo kazi ya mungu sasa..😀 acha niendelee kumtegemea mungu tu sasa..🙏
  4. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Kaka inafika mahali kwenye hilo swali point haziji kila ukitafakari mtu unaona bora ukubali yaishe hapo ujaribu swali jingine, mm nashukuru baada ya kuchemka swali moja basi yalio fata niliweza kujibu yote kwahio nilikosa swali moja ambalo kila nikiwaza wapi mkuu..😀
  5. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kutoboa oral ya TRA-2025

    Mkuu maswali ni knowledge uwe nayo tu kwa kada yako na huwa yana badilika kila kada ishu ya msingi sio kujua maswali isipokuwa mtu anatakiwa awe na upeo wa juu kukumbuka point wanazo taka kwa kila swali, hapo lazima iwe imara kwenye kodi na forodha ndio itakuwa simple.
  6. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ameen Inshallaah mkuu..🙏
  7. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    TAA nilifanya customer service mkuu, pepa ilikuwa ngumu balaa..😀
  8. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huwezi amini mkuu miujiza ya mungu Kwakweli mungu tumshukuru siku zote kwa barakha zake..🙏
  9. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naona nimepita kote TAA na TRA ngoja niangalie tarehe zimekaa vp kuhudhuria oral sasa..🙏
  10. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi baada ya kupita written vizur zile maks ndio zina ishia pale pale written kwamba ukienda oral kule wanaanza upya usahili au zinakuwa combined mark's za oral na written ili kupata kazi mkuu..?
  11. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Hivi oral imekaaje mkuu baada ya kufaulu written kule kila mtu anaanza upya kwamba matokeo ya ufaulu wa written haya zingatiwi tena kwenye kupata kazi au ni oral kama oral ndio itaamua hatima ya mtu baada ya usahili..?
  12. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

    Nashukuru walitunyima calculator lakini nimefanikiwa kupita kwa uwezo wake mungu tu "Alhamdulilaahi..🙏
  13. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

    Ni kweli hata mm naweza kupata nusu ya swali kwa maana pale kuna njia ya kufata kila hatua na wengine wakapata lote ni sawa sio mbaya lakini haki tumenyimwa kwa kufelishwa makusudi.
  14. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

    Kama ni mbinu ya kuwa felisha watu wasitumie calculator hapo walifanikiwa pakubwa sana sababu ukweli ni kwamba wengi tunajua hizo calculation isipokuwa tu kuzuia matumizi ya culculator hakuleti maana yoyote zaid ya kuwanyima watu haki zao za kufanya usahili kwa haki, yani mtu ukazidishe namba...
  15. Perrez Amanaya7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pepa za utumishi ww kuwa tayar kwa lolote mkuu utakacho kutana nacho huko jamaa ni kawaida yao sana kwa mambo hayo ukiwa mzoefu wala huumizi kichwa sana mifumo ni ile ile kama vile kwenye soka uwanjani.😀 Ukitumia 'basic knowledge' yako kwenye pepa kama hizo ume maliza mchezo..🙏
Back
Top Bottom