Recent content by Perma

  1. P

    Aibu kubwa kwa Serikali awamu ya nne kushindwa kuchangia dola 120 milioni Kinyerezi II

    Ilikuwa ni kuchumia tumbo na familia zao. .. Kulikuwa na tabaka la wenye nacho(wapiga diri) na wasionacho. .. yawezekana waliona hakuna 10 percent. ..
  2. P

    Nyumba tatu tofauti zinauzwa Toangoma, Kigamboni

    Chief skin vp ni maeneo gani specifically? Maana twaweza fanya biashara...
  3. P

    Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

    Ni wa solar kawaida.. sema ni bei rahisi sana kufungiwa... Nadhani wao faida wanaipata pale unaponunua kama luku ili uweze kuutumia... Last year ilikuwa ni elfu 10 tu kufungiwa huu umeme... kwa Arusha... so basically ni LUKU....
  4. P

    Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

    Hawa jamaa umeme wao ni kama luku... yaani unafungiwa paneli na taa kadhaa kulingana na ukubwa wa mahitaji... matumizi yake ni pale unapolipia kwa mpesa au tugo pesa ndo unapewa units kama luku vile... waweza nunua kuanzia wa tsh 500 na kuendelea..
  5. P

    Serikali: Machungwa ya Tanga hayafai kwa juisi

    MMie nijuavyo uzalishaji lazima kwanza kuwepo na uhakika wa soko, wakulima wa Tanga wanazalisha aina ya machungwa yenye soko kwa wakati huu.. Na siku zote kilimo chenye tija si kuzalisha tu bali kwanza kujua mahitaji ya soko na ni nani atanunua mazao yako.. sasa ndugu ukisema wakulima...
  6. P

    Vijana tuchangamke kabla jua halijazama

    Safi sana...hii si ya kupuuza
  7. P

    Lincoln and Kennedy Similarities

    Hahah pendaeli24....
  8. P

    Lincoln and Kennedy Similarities

    Hiz vitu watu wa NUMELOGY wanavielewa sana... its not a coinsidence hata kidogo....
  9. P

    The 11 Most Powerful Militaries In The World

    It is south korea nt North korea...
Back
Top Bottom