Recent content by Peribus

  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Mimi ni mchumi kutoka chuo Cha ushirika Moshi(MoCU) TITLE: MR PROFESSION: ECONOMIST EXPERIENCE: FRESH GRADUATE LOCATION: MBEZI-DAR ES SALAAM Naomba kazi yoyote halali ambaye daily naweza pata kuanzia 10k . *Naweza kuandika (Research) * Naweza kufanya data analysis kwa kutumia SPSS na Excel...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi, nina Shahada ya Uchumi

    Habari Mimi ni Mhitimu wa chuo ngazi ya shahada (Uchumi) naomba mwenye kujua taasisi zinazohitaji mchumi, au connection ya kazi zinazoendana. Nipo tayari kufanya kazi taasisi yoyote , naweza kufanya kazi za planning and management , research, consulting nk. Napatikana DSM #0688165156...
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta😌

    Haka ka under twenty cjuw kanatakaje?
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta😌

    Haka ka under twenty cjuw kanatakaje?
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta😌

    Haka ka under twenty cjuw kanatakaje?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu mtaji unaohitajika ili kufanya hii biashara!

    Wasaalam ndugu na jamaa Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje? Na je kwa hapa dsm, biashara ipi inatoa zaidi kwa mtaji kuanzia 1m? Na je ni maeneo yapi yanafaa?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Sajili jina la biashara bure leo

    Unadanganya tu watu, garama ndo hizo 20,000 za kitanzania Bado bili ya Kila mwezi
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tetemeko mjini Arusha

    Niko Moshi kimepita na huku, had nmesisimuka😊
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Chuo chenye Diploma ya Economics

    Haipo boss. Sio course nyepesi ujue,😊
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

    😊Labda angekuwa wa kiume mm nmelala na mshua had miaka 13 (m) Mtoto umleavyo ndivo akuavyo
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anahisi mpenzi wake mshirikina

    Wewe pia akili hazikutoshi, unamwangalia tu😌😧😀
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

    Ndo mana sipendi urafiki na vijana walio-oa ,wale watu wazima hawana ulimbukeni kama huo😊
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari za wakati mabibi na mabwana!! Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo, Umri kuanzia 23-25 Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma Kazi -...
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuoa ila nina wanawake wengi mpaka sijui nioe yupi kwa kweli

    Kijana wa hovyo kabisa wew
Back
Top Bottom