Ukiwahi asubuhi sana hakuna jam,,,au ukisubiri subiri kwanza siku zikatike,,wale wanaopenda shule kwanza waende afu na ww ndo uende,,hakunaga jam baada ya muda huo
na kuhusu admission bora uende sasa hivi kipindi majina yametoka officially...ukienda kwa tarehe iliyopangwa na chuo ya orientation...