Recent content by perepeche

  1. P

    Hivi Afrika ingelikuwa ya kwanza kuendelea, Wazungu wangelifuata imani zetu?

    imani ingekuwa ni ya mzungu isingekuwa hai hadi kufikia leo hii,kwani cha mwanadamu hakidumu maana hakina uhai ndani yake,bali cha Mungu ndio kinachoishi milele yote kwani Mungu ni wa milele.nashangaa kwa watu wanaojiita great thinkers kutotambua ya kuwa hata wazungu imani hii walipelekewa!
  2. P

    Ajali yaua wanafunzi watatu na kujeruhi mmoja wilayani Ngara

    wiseboy ana taarifa maana yupo pande za huko?kwanza ww jamaa unaishi wapi maana utasema umefunga GPS,kila ajali unainyaka hata itokee kijiji gani!lol
  3. P

    Natafuta toyota IST mwenye nayo anauza

    jina ni MASAI DADA,ila hii title kiswahili chake kinafanana na kiswahili cha Nangurukuru,kivinje pande za kusini mwa nchi,'mwenye nayo anauza'!
  4. P

    Askofu Samson Gwajima amevamiwa

    nishazichoka habari za huyu jamaa humu jukwaani,tujiandae na dvd za ma season kama zile za kikorea,maana inapoendea,sisemi mengi
  5. P

    Waseminari wote tukutane hapa

    sakramenti kubwa hiyo,twaheshimu kifudi
  6. P

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    sasa hv unatumika kuonesha makali ya mgao wa umeme,wananchi muendelee kutumia tochi na vibatari,nchi haina umeme wala haina mpango wa kuwa nao!
  7. P

    Tukio la kurushiana risasi leo alfajiri (03.05.15) - Shoppers Plaza Mikocheni

    yaah nilisikia gunshots mida hiyo sababu nipo maeneo ya karibu,ila sikutilia maanani nikadhani labda Yanga walishinda wakawa wanasherehekea ushindi,kumbe maafa!
  8. P

    Hivi vazi la ndani (chupi) lina umuhimu gani kiafya?

    ni kama vile unaponunua simu ukaitoa kwenye box,utaikuta imefungwa na nailoni kwa ndani,kwahiyo kazi ya chupi ni kama ile nailoni,upo?kiufupi ni kuongeza hamasa kwa mtumiaji awe na morali wa kukifikia kile kilichopo ndani,imagine umetumiwa zawadi ukafungua box ndani ukakutana na nailoni likaja...
  9. P

    Maana Ya Neno "NEGRO"

    NEGRO(masculine),NEGRA(feminine) ni neno lenye asili ya kireno lenye maana ya kitu cheusi tiii.kwa marekani wazungu walitumia kuwaita watu weusi wakimaanisha kinyesi cheusi!ndo maana limekuwa na tafsiri ya kibaguzi.
  10. P

    Windhoek, Heineken & Peron, Vijana ni kweli mnazimudu au Ubishoo tu?

    heineken ya south africa hiyo,haina nembo ya UEFA
  11. P

    Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

    ingekuwa Mungu anawapangia watu ya kufanya,basi binadamu tungefanana na malaika na waovu wangeangamizwa,ila dunia ina mchanganyiko wa watu waovu na wema na wote wanaishi katika viwango vyote vya maisha(kuna waovu maskini na wanyonge pia wapo waovu matajiri,kuna wema matajiri na wapo wema hao hao...
  12. P

    Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

    yote kayamaliza Yesu"hata ningekuwa na imani ya kuhamisha milima kama sinao upendo mimi si kitu kabisa"maana nafsi iliyo huru inatakiwa kujazwa na upendo wa kimungu kabla ya yote hayo,maana hiyo miujiza sijui kufufua wafu,uponyaji yanawezekana kwa mwanadamu,ila nafsi ya mwanadamu kuwa na hadhi...
  13. P

    Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

    unajua mkuu huu ulimwengu wa vitabu vya mafundisho mbalimbali unateka akili za watu kwa kasi kiasi kila mtu anataka kuwa mjasiriamali siku hizi!siyo kila elimu inaelimisha nyingine zinapotosha.
  14. P

    Kurekebisha jina kwenye cheti cha kuzaliwa!

    mtafute sitti mtemvu atakusaidia
Back
Top Bottom