Recent content by pere

  1. P

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua?

    Mimi najiuliza kitu kimoja na sipati majibu. Hivi inakuwaje Mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua? Mbona watu wanaongeza migogoro baada ya kuipunguza? Kweli JPM kazi unayo. Nakubali msemo wako kwamba sasa ni nafasi kwa vijana.
  2. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NIPO KARAGWE KAYANGA IDARA YA SEKONDARI, NATAFUTA WA KUBADILISHANA NAYE AWE BUKOBA MANISPAA. CONTACT 0755966512
  3. P

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa walimu kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO KARAGWE KAYANGA NIJE BUKOBA MANISPAA IDARA YA SEKONDARI.0755966512
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NACTE

    Namba ukiweka inakuletea taarfa zako yaan ulipo soma sekondar. Hivyo kma c wewe utapata taarfa za mtu mwingne
  5. P

    JamiiForums Tanzania NACTE siwaelewi

    Nina Dogo kapata DVD F4 27. Nishauri naweza kumuombea koz gan hasahasa chuo kiwe kanda ya ziwa na ada iwe nafuu.
  6. P

    JamiiForums Tanzania NISAIDIE KWA HILI

    Nahtaj kusoma masters ya education lkn nataka nishughulikie sponsership. Nisaidie namna ya kufanyikisha sponsership.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    Vbal vmeisha tolewa na kilichobak hku ni mkurugenz kusain clearance. So fuatilia halmashaul
  8. P

    JamiiForums Tanzania Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    Kama hajapokea barua hapo no Shea, cha msingi sense ajitetee kuwa anafuatilia uhamisho wake
  9. P

    JamiiForums Tanzania Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    Hv wakurugenz wanasaini barua kwa mpango gain? Mbona wanazingua sana? Kitendo cha kusaini nacho kinachukuwa siku mbil na zaidi! Tunamuomba Majaliwa alitazame hili, we are tired
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tuwekeze katika Elimu.

    Serikali imeishatusaidia Elimu bure hvo tulijitaid kuwekeza kwenye siasa safi hakuna haja ya kuangalia elimu kwa upandewa wazazi bali tumewaachia serkali.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    Hawa jamaa wanazingua maana walisema ztakuwa tiyar 22 sasa najiulza znakuja kwa njia gan hdi sasa zsiwepo. Hku Nanyumbu- Mtwara bado kabsa.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Masters inalipa Sana katika ajira kwa sasa?

    Unapata mkuu
Back
Top Bottom