Hao waliotoroka ni vijana wa wakubwa walio chomekwa kwenda kozi ya JWTZ wakati hawajapitia mafunzo ya JKT.
Vijana wengi wa walala hoi hawajapelekwa Kozi bado wanasota JKT karibu mwaka wa tatu sasa.
Wilaya nyingi Tanzania kwasasa hazina Makatibu Tawala ( DAS ) Hii ni kutokana na Makatibu Tawala wa Wilaya wengi kuteuliwa nafasi za Ukurugenzi na Ukuu wa Wilaya na Wengine Makatibu Tawala wa Wilaya wamestafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria.
Kazi zinaendelea bila hawa Makatibu Tawala wa...
Diwani wa Kata ya Gwarama wilayani Kakonko na MwanaJF Ndugu Elia F Michael aliyekuwa mgombea wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo mwaka 2018 jimbo la Buyungu ameamua kuachana na Chadema na kujiunga na CCM.
Pia soma...
Wamemsimamisha Mkurugenzi wa Kigoma Ujiji Mzee Mboya ambaye tayari amestaff miezi miwili iliyopita? Kweli Mboya unaakili nyingi sana maana wakati ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kibondo ulifanikiwa kuchoma ofisi yako na masijala nyaraka nyeti ziliteketea baada ya muda mfupi ukahamishiwa kuwa...
Uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kibondo umetawaliwa na Rushwa, Takukuru ilifanikiwa kuwakamata wagombea wawili wa nafasi ya uenyekiti na katibu mwenesi wakigawa Rushwa na kiloba kilichojaa tshirt, kofia na vilemba vya chama.
Waliokamatwa ni Hamisi Tahilo...
Mbona hata watoto wa Balozi Jaka Mwambi hawana vyeti vya form Six lakini Wana Masters Degree za Urusi. Pia Mtoto wa Ditopile nae vyeti vyake ni tia maji tia maji lakini ana Master degree ya Urusi ya Sheria. Urusi wengi walikwenda kwa vyeti vya kifoji miaka ya 2007 na 2008.
Serikali hii ikipeleka wanafunzi nje wakihitimu na kurudi nchini huwa haina habari nao. Inatumia gharama kubwa kuwasomesha nje ili wapate ujuzi mzuri lakini wakirudi wanahangaika na bahasha mjini. Wapo jamaa wengi mtaani wamesoma Ukraine, Poland, Urusi, China, Cuba, Algeria n.k. Wana miaka...
Bunge limechafuka muda huu baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kuomba mwongozo wa kujadili hoja ya wanafunzi zaidi ya 700 waliofukuzwa chuoni ijadiliwe kama hoja ya dharura.
Naibu spika akaendeleza ubabe hivyo wabunge wa vyama vyote walisimama na kutoka nje.
Chanzo: Radio One
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.