Hoja ya dharura wanachuo 7,000 UDOM: N/Spika aahirisha Bunge baada ya wabunge kwa pamoja kutoka nje

pepekale

Member
Nov 25, 2010
60
50
Bunge limechafuka muda huu baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kuomba mwongozo wa kujadili hoja ya wanafunzi zaidi ya 700 waliofukuzwa chuoni ijadiliwe kama hoja ya dharura.

Naibu spika akaendeleza ubabe hivyo wabunge wa vyama vyote walisimama na kutoka nje.

Chanzo: Radio One



 
Ninaisikia hapa.. Nadhani huyu Naibu Spika anapwaya sana kwenye kiti.. Halafu hasomi kiwanja maana mpaka wabunge wa ccm wamempinga leo ajue kiti hicho hakina ubia na yeye..
huyu Tulia ni tatizo hata zile pesa za bunge alizopeleka kwa Pombe ilimshangaza Spika(Ndungai) hakua na taarifa yoyote alijua kupitia watsapp group ya bunge baada ya kuona picha.
 
Back
Top Bottom