Recent content by pepe17

  1. pepe17

    Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

    Kujua huyu ni feki:
  2. pepe17

    Ludovic Uttoh: Kama Kodi ni kwa maendeleo ya Nchi kwanini Wabunge hawakatwi wakati nao wanalipwa Mshahara kama wengine?

    Wabunge wanalipa kodi kutoka kwenye mshahara wao ambao ni mil 4 na ushee,ila hawalipi kodi kwenye maposho yao wanayopata ambapo ndiyo wanapata pesa nyingi huko,karibu mil 7 na ushee,sababu wanayotoa ni kuwa eti kazi yao ni ya mkataba wa miaka 5.
  3. pepe17

    Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

    Huyu askofu rashidi wenzake kama yeye walibeza sana huu ugonjwa matokeo yake ikiwapata wanaomba wapelekwe hospitali kule kule kwenye sayansi wanayoipinga kuwapa kazi ya ziada madaktari wetu, mimi ombi langu watu kama hawa wanaojifanya kujua na wakaidi siku wakija kuumwa na wakizidiwa wapelekeni...
  4. pepe17

    Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

    Na huyu Gwajima kudhibitisha yeye ni boya ni kudanganya watu kuwa anafufua maiti,alionyesha kwenye video moja anamfufua mtu aliyekufa,sasa kama ana uwezo huo si angemfufua mwendazake basi aliyempa ubunge ili tumuamini maneno yake? Siyo kutumia nguvu nyingi kuhubiri uongo huku jasho la kwapa...
  5. pepe17

    Sakata la Brexit: Theresa May, Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kujiuzulu'

    Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu uongozi wa chama chake na hivyo jyachia ngazi uwaziri mjuu mwezi ujao wa sita.Waziri mkuu huyo alibubujikwa na machozi wakati akitangaza azma yake hiyo...
  6. pepe17

    Vuguvugu jipya barani Afrika: Ndani ya wiki moja Madikteta wawili wameondolewa madarakani kwa nguvu

    To follow: Rwanda and Uganda.Waafrika lazima waamke na wajue kuwa Hawa ni viongozi wetu tu na siyo miungu mtu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. pepe17

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan alazimishwa na Jeshi kutoka Madarakani. Inadaiwa kajiuzulu, Uwanja wa Ndege wafungwa

    Jeshi la Sudan limemlazimisha rais wa nchi hiyo Al Bashir kuachia ngazi haraka sana.Jeshi litatangaza uamuzi huo muda si mrefu na Al Bashir amekubali kuepusha umwagaji damu.who's next?????? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. pepe17

    Tanzania USA Diaspora's Fundraising Appeal for Mr. Tundu Lissu

    Sasa watu wanachangia vipi??? Si mngeset basi kwenye Gofundme.com??
  9. pepe17

    Kauli ya TFF ya kuwashughulikia Wanachama wanaoleta Utundu Lissu, yawakera CHADEMA

    Ni kweli mnaboa sana, yeye amefanya makosa na amekubali na kuomba msamaha, ki binaadamu ni kusamehewa kwanza, sasa kama baadaye atafanya kosa tena basi sasa hapo ni kuchukuliwa hatua za kisheria.kuna msemo unasema "kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa". Jamani tujifunzeni tuacheni ushabiki...
  10. pepe17

    Uhamiaji: Wallace Karia ni Mtanzania

    Hahahaaaaaa, wewe una chuki binafsi.mbona hata mimi sijui wewe umezaliwa kijiji gani? Na wala siwajui wazee wako?Ongea points basi siyo ulete chuki tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. pepe17

    Spika amekubali Kamati ya PAC kushughulikia upotevu wa Tsh. 1.5T

    Huyu spika ni pimbi kweli kweli, si alishasema huko nyuma kuwa kamati ya bunge lilikuwa limeshaifanyia kazi hiyo 1.5T na kwamba serikali ilishatoa maelezo ku clarify hiyo 1.5T.? Sasa kwa nini achukuie kuambiwa bunge ni dhaifu na huo ndiyo ukweli? Kama siyo dhaifu watupe kila kitu...
  12. pepe17

    Venezuela leo waandamana wameshoshwa na Rais Maduro

    Sijui hata kama ana habari za duniani. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. pepe17

    Venezuela leo waandamana wameshoshwa na Rais Maduro

    Kwa hali ilivyo hivi sasa naona kama Maduro anatafuta njia ya kukimbia nchi wakati wowote. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. pepe17

    Venezuela leo waandamana wameshoshwa na Rais Maduro

    Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela Juan Guaido amejitangaza kuwa yeye ni Rais halali wa Venezuela badala ya Nicolas Maduro na ameshatambuliwa na Rais Trump pamoja na nchi 5 za amerika ya kusini.Bwana Juan Guaido ameliomba jeshi kumsaliti Bwana Maduro na kumpa support yeye ns kuahidi kufanya...
  15. pepe17

    Stephen Sackur wa BBC HARDtalk akubali kumhoji Rais Magufuli

    Acha wewe utamfanya akajifiche kwanza atasingizia eti ana kazi nyingi na hana muda wa mahojiano, lakini muda wa kukaa majukwaani kutoa porojo anao, we acha tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom