Recent content by Penguini

  1. Penguini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

    👿👿Mke mkerembeshe, ukimshindwa anakuwa mkemia, kila kitu ana uwezo wa kukitambua, hakuna demokrasia kwenye ndoa, hata adamu aliishi na mke wa pili, kuna aliyeumbwa sambamba nae kwa udongo(mzo 1:27) na yule aliyetolewa ubavuni mwake (Mzo 2:21-22)
  2. Penguini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanipa wakati mgumu

    kuna wanaowakamata ugoni ila wanaendelea kuishi ,kuna wanaonusurika kupewa sumu ila wanaendelea na ndoa! amua utakacho, hapa jf hakuna mawazo ya kutoaheleza moyo wako ujje, maana sitaki nataka haina ushauri
  3. Penguini

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu kama wanavyojinadi?

    we una akili kweli?
  4. Penguini

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Chama chako kita omea hapa hapa unapokianzishia kwa bandiko
  5. Penguini

    JamiiForums Tanzania Lissu na wenzake wamefaidi matunda ya Muungano wamewapa watoto wao uraia wa nje, sasa Wanapotosha vijana, tuwakatae kwa nguvu zote

    **** magonjwa lazima athibitishwe na daktari, ila mengine yako wazi tu pole ndugu
  6. Penguini

    JamiiForums Tanzania Wakemia wa sabuni wamepitwa na teknolojia?

    kufua ni kuosha nguo kuonga ni kuosha mwili, sijajua vyema utofauti wa sabuni hizo kama zina side infect ila zinafanya vizuri tu kwa maana ya
  7. Penguini

    JamiiForums Tanzania Wakemia wa sabuni wamepitwa na teknolojia?

    mi mwenyeqe nimemshangaa, make. kwenye korona aliosja mikono sana huyu ila anajitoa akili jawa wanaoyengeneza zinazowasha bado hawajaamka eee?
  8. Penguini

    JamiiForums Tanzania Wakemia wa sabuni wamepitwa na teknolojia?

    kufua ni kiasha nguo na kuoga ni kufua mwili hakuna tofauti hapo, hoja ni aina za sabuni
  9. Penguini

    JamiiForums Tanzania Wakemia wa sabuni wamepitwa na teknolojia?

    waje watu update huenda zipo japo tupo wengi hatujawahi ziona
  10. Penguini

    JamiiForums Tanzania Wakemia wa sabuni wamepitwa na teknolojia?

    Habari zenu wana jamvi, Kila mmoja wenu anajua kuwa unapoosha kichwa ama uso kwa sabuni, mapovu, huwasha machoni, je kwa zama hizi bado tuna ubunifu 'dhaifu' kiasi hicho? Juzi juzi nimeugua macho, ule ugonjwa uliovuma sana, na kwa kuwa kipindi cha virusi vya korona tuliambiwa kuwa virus...
  11. Penguini

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

    Kuwaza kufuta CHADEMA ni upeo mfupi wa kufikiri, huwezi kuwa Greet thinker usijue ukubwa wa kazi zilizofanywa na Chadema kuibua mambo nchi hii, nachelea kusema 'Ushabiki' ni neno sawa na 'uhuni'
  12. Penguini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini wanaume hawaaminiki

    kumwamini mwanaume kwamba hawezi kutongoza nje ni ujinga unaotokana na kukumbatia mafundisho ya wazungu, waliyoyaleta kwa maslahi yao, maana kwa asili kila kiumbe cha kiume kinazo sababu za asili kuwa na jike zaidi ya moja. Ibrahimu baba wa imani ya kikristo alikuwa na wake wengi japo uzinzi...
  13. Penguini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba(ke)

    hapo mtaani kwako kama kakuna hapa jf kuna wakubwa kuliko umri huo, labda wakupe watoto wao
  14. Penguini

    JamiiForums Tanzania Mstaafu anapewa milioni 17 baada ya miaka 40 mbunge millioni 17 kwa mwezi

    HII NI SUMU INAYOPIKWA IKISHAIVA CCM ITABAKI KWENYE MAFAILI TU!
  15. Penguini

    JamiiForums Tanzania Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Nadhani uwezo wako hautoshi kutambua mwanasiasa mwenye uwezo wa kufanikisha mikakati ya chama kwamba anatakiwa aweje.
Back
Top Bottom