Recent content by Penford Dastani

  1. Penford Dastani

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Kauli ya Rais 'Nimewasamehe kwa kuchagua upinzani'. Je, ni kosa kuchagua chama pinzani?

    Nimecheka sana eti nimewasamehe kuchagua upinzani jamani wahenga walisema akili ni nywele kila mtu na zake pole
  2. Penford Dastani

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Askari Polisi ni matokeo ya Jeshi la Polisi kupuuzia mambo

    Ndo matokeo wanayo tegemea na bado tuta sikia mengi waliambiwa wakikutana na jambazi wamnyang'anye silaha
  3. Penford Dastani

    JamiiForums Tanzania Hii nchi haiishi vituko! Yaani First Lady anaenda kuteuliwa kuwa mbunge akabanane na wakina Bulaya!?

    Ukishangaa ya bashite utayaona ya magu ha ha ha ha ha mama mwenye nyumba kuwa house girs hahahahahaaa
  4. Penford Dastani

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajamshangaa waziri Mwakyembe juu ya yeye kugombea urais TLS asema neno

    Lissu alifaa kuwa mwasheria mkuu wa serikali sio hao vibaraka waliopo
  5. Penford Dastani

    JamiiForums Tanzania Trump amteua mkwe wake kuwa mshauri mkuu Marekani

    Acha afanye kazi yake
  6. Penford Dastani

    JamiiForums Tanzania Kampeni za Ubunge ZNZ zaibua mengi, Maalim 'amuumbua' Kinana, baba amkana mwana, Lowassa na mahaba

    Mungu ibariki cuf na Zanzibar.Tz bara kaeni chini na kutafakari ya Musa msije yaona ya filiuni
Back
Top Bottom