Kampeni za Ubunge ZNZ zaibua mengi, Maalim 'amuumbua' Kinana, baba amkana mwana, Lowassa na mahaba

Hvi umeiskia video ya lowassa alichosema??? "Hata kwa kura zao walizoandika wenyewe" ...... we hiyo statement umeelewaje???
Wenye akili tumemueelwa lowassa sio kwmaba ameafiki matokeo ya NEC ila kaelezea kuwa hata kwa kura walizoziandika wenyewe bado walianguka zanzibar meaning kuwa wizi upo pale pale tofauti ni location tu na ndio maana kasema ''HAWAKUSHINDA ILA WAMEIBA'' sasa hapo huoni bado msimamo wa kuibiwa kura kaendelea kuushikilia??
Hvi pohamba ni lazima utetee kila kitu cha ccm hta kma kipo wazi kabisa???

Hoja yangu usijifanye hujaielewa!

Kama Lowassa na Seif wote wanajidai kuibiwa kura zao kwanini Lowassa ashadadie Seif kutokumtambua Dr. Shein wakat yeye Lowassa anamtambua Dr. Magufuli?

Kama Shein na Magu wote hawakushinda kihalali kwanini Mmoja atambuliwe kama Rais na Mwingine wajifanye hawamtambui?
 
Mikutano ya fitina ya nini hayo ni maneno ya simba na yanga hayana nafasi kwenye tanzania ya viwanda. Hana ushahidi wowote kama alishinda kutaja idadi ya kura zilizompa ushindi si ni hesabu tu hata mtoto wa darasa la pili anaweza kutengeneza hesabu kama hiyo. Kama tume haiaminiki haiingii akilini kwanini anaendelea kugombea akijua kamwe hawezi kushinda? au anagombea ili apate hesabu za kutoa na kumjulisha ajitengenezee ushindi wa majukwaani? Toka lini mshabiki wa simba au yanga akakubali kufungwa na hasimu wake bila kisingizio? Lowassa ni sawa na mshabiki wa timu ya simba au yanga hakosi visingizio mara mchezaji kahongwa refa kahongwa wamebebwa na tff n.k tumezoea labda aje na excuse mpya.
Haaahaaaa mkuu nruhusu ncheke kidogo hup mfano wako wa simba na yanga.

Anyway hapo hamna excuse ila hta wwe reason tu kwanni vijana wa kujumuisha kura wa UKAWA walikamatwa na polisi huku wale wa ccm waliachwa kule mlimani city?? Kwanni labda waliamua kwenda ukawa wakaacha kina january?? Huoni walikuwa wanaogopa kitu flani kujulikana??? Reason tu

Kwanni wlaivamia kule LHRC na kupora laptop za wajjumuisha matokeo wa kutoka asasi flani (jina limenitoka kidogo) ya mambo ya uchaguzi...... ccm waliogopa nini?? Kma walishinda kihalali je kwanni wanaogopa matokeo wasiwe nayo hyo taasisi pale LHRC??? walificha nni?? Waliogopa nni??

Haya hata ya jecha hukuona walifuta baada ya kuona hali mbaya kwa shein hivi kipi kinaweza zuia hilo kutokea huku bara mpka uamini ccm walifanya zenji tu ila bara hawakufanya??? Reason mkuu
Pia reason mkuu kwamba kma kweli lowassa alishindwa kwanni basi wanaogopa asinye mikutano na chadema yake nchi nzima kma miaka yote?? Hvi angeshindwa ccm wangemuogopa tena?? Hvi ccm ingeweza mzuia mrema 2006 asifanye mikutano?? Si walijua wameshinda kihalali?? So waliona hana madhara tena au lipumba...... ila kwanni wazuie sasa?? Reason mkui sio ushabiki wa kivyama kila sehem

Ok umesema kwanni anaendelea kugombea? Sasa mlileta tume huru akaamini mtampa ushindi cha kushangaza mkaingilia uhuru wa tume hadi kina mkapa wanamlazimisha jecha afute matokeo ila tume huru ilisaidia seif ashinde ila viongozi wa ccm ndio wakaharibu uchaguzi sasa hapo huoni ccm ndio wamevuruga uchaguzi wa 2015??
sasa alipogundua hilo ndio akasusa uchaguzi wa marudio.... sasa hapo huoni kaacha kushiriki uchaguzi baada ya kuona hta tume huru haijasaidia....... huoni ushauri wako wa kususa alishaufanyia kazi hta kabla wwe hujamshtumu hapa kwa kushiriki kila uchaguzi??

Mkuu kila mpenda haki anajua uchaguzi 2015 mliiba sasa inashangaza nyie kushabikia bila kuREASON afu tunajiita great thinkers?? Really??
 
Haaahaaaa mkuu nruhusu ncheke kidogo hup mfano wako wa simba na yanga.

Anyway hapo hamna excuse ila hta wwe reason tu kwanni vijana wa kujumuisha kura wa UKAWA walikamatwa na polisi huku wale wa ccm waliachwa kule mlimani city?? Kwanni labda waliamua kwenda ukawa wakaacha kina january?? Huoni walikuwa wanaogopa kitu flani kujulikana??? Reason tu

Kwanni wlaivamia kule LHRC na kupora laptop za wajjumuisha matokeo wa kutoka asasi flani (jina limenitoka kidogo) ya mambo ya uchaguzi...... ccm waliogopa nini?? Kma walishinda kihalali je kwanni wanaogopa matokeo wasiwe nayo hyo taasisi pale LHRC??? walificha nni?? Waliogopa nni??

Haya hata ya jecha hukuona walifuta baada ya kuona hali mbaya kwa shein hivi kipi kinaweza zuia hilo kutokea huku bara mpka uamini ccm walifanya zenji tu ila bara hawakufanya??? Reason mkuu
Pia reason mkuu kwamba kma kweli lowassa alishindwa kwanni basi wanaogopa asinye mikutano na chadema yake nchi nzima kma miaka yote?? Hvi angeshindwa ccm wangemuogopa tena?? Hvi ccm ingeweza mzuia mrema 2006 asifanye mikutano?? Si walijua wameshinda kihalali?? So waliona hana madhara tena au lipumba...... ila kwanni wazuie sasa?? Reason mkui sio ushabiki wa kivyama kila sehem

Ok umesema kwanni anaendelea kugombea? Sasa mlileta tume huru akaamini mtampa ushindi cha kushangaza mkaingilia uhuru wa tume hadi kina mkapa wanamlazimisha jecha afute matokeo ila tume huru ilisaidia seif ashinde ila viongozi wa ccm ndio wakaharibu uchaguzi sasa si nyie ndo kkavuruga sasa alipogundua hilo ndio akasusa uchaguzi wa marudio sasa hapo huoni kaacha kushiriki uchaguzi baada ya kuona hta tume huru haijasaidia....... huoni ushauri wako wa kususa alishaufanyia kazi hta kabla wwe hujamshtumu hapa kwa kushiriki kila uchaguzi
Wale wapika matokeo ni hackers ambao walikuwa wanapika matokeo wasingeweza kuachwa. Serikali haimuogopi mtu yoyote bali inalinda mtangamano wa taifa mikutano imezuiwa kwa sab inakwaza maendeleo mikutano inasimamisha kazi inaleta chaos zisizo na maana kwa mfano ianze mikutano nchi nzima maana yake isimamishe kazi na kuleta taharuki nchi nzima kumbuka lowassa alivyochukua form alivyosimamisha dar kwahiyo unataka hiyo hali iendelee kila siku kazi itafanywa saa ngapi unataka ratiba za wageni wanaokuja kununua vitu kariakoo na kutalii waangalie ratiba za mikutano ya lowassa kabla hawajaja nchini kwa sab kazi siku hiyo zitasimama. Haiwezekani kila siku Tanzania ionekane iko kwenye kampeni tu maandamano na mikutano isiyoisha kila siku. Mikutano ya ndani inatosha.

Zanzibar Cuf hawakushinda uchaguzi ulifutwa kwa sab seif alijitangazia ushindi kinyume na taratibu. Walisusia wa marejeo kwa sab ya tamaa binafsi ya seif kwani yeye anataka urais lkn kasahau amewanyima wazanzibar hasa pemba kutumia haki yao ya msingi ya kuchagua hivyo kuishia kuwafanya wawakilishwe na wawakilishi ambao hawakuwachagua. Ni ubinafsi wa hali ya juu km aliona hawezi kupata urais angeshiriki uchaguzi wa wakilishi pekee ili haki ya wengine itimie kwa kupata wawakilishi sahihi.
 
Hoja yangu usijifanye hujaielewa!

Kama Lowassa na Seif wote wanajidai kuibiwa kura zao kwanini Lowassa ashadadie Seif kutokumtambua Dr. Shein wakat yeye Lowassa anamtambua Dr. Magufuli?

Kama Shein na Magu wote hawakushinda kihalali kwanini Mmoja atambuliwe kama Rais na Mwingine wajifanye hawamtambui?
Niletee hapa press statement inayoonyesha lowassa anamtambua magufuli kwamba alishinda urais......maana sasa hapo lowassa kasema magufuli hakushinda ina maana hamtambui ssa kma anamtambua kwanni leo aseme magu aliiba??? Au unafkiri uneskia mwenyewe??
Leta hapa ushahidi kuwa anamtambua magufuli kuwa ni rais wa Tanzania??? Ndio tuanze kujadili mada
 
Akizungumza baada ya kkukutana na Rais Magufuli kanisani kwny Jubilee ya Miaka 50 ya Ndoa ya Benjamin Mkapa, Edward Lowassa kwa kinywa chake anasema alisalimiana na Mh. Rais Magufuli na hawakuzungumza zaid?

Inawezekana Chadema ikamtambua Rais Magufuli halafu Mgombea wake asimtambue?

Huwezi kuhudhuria Bunge na kutii kanuni zote za Bunge halafu bado ukasema humtambui Rais acha kujifariji!

Seif na CUF wametangaza hadharani kutokumtambua Rais Shein jee ushawahi kusikia tangazo Kama Hilo kwa Chadema na Lowassa wakitangaza kutokumtambua JPM?
 
Seif anashangaa Kinana hakujua Mabadiliko ya Halmashauri ya CCM lakin yeye hajishangai kwa kutojua kuwa The Professor alikuwa anarudi kwny Uenykt wake Taifa CUF!

Lowassa anayatambua Matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Muungano kutokea Zanzibar kwa kuwa tu kule aliongoza lakin akitajiwa Matokeo ya Maeneo aliyokataliwa anasema Tume si huru sasa sijui Yale ya Zanzibar yalisimamiwa na Tume huru?

Kama Seif alijua mpaka taarifa za ndani kutokea Ikulu kuwa Kinana hakushirikishwa kwny Mabadiliko ndani ya Chama kwanini hakujua kuwa Mwenyekiti wake anarudi kwny Himaya ya Uenykt?

Lowassa asipeleke Fitna Zanzibar, Kama kudai kuibiwa kura wote wanadai wameibiwa kwanini Lowassa yeye anamtambua Dr. Magufuli lakin anamchochea Mwenzie kutomtambua Shein?
Umeamua uandike ili uonekane
 
Wale wapika matokeo ni hackers ambao walikuwa wanapika matokeo wasingeweza kuachwa. Serikali haimuogopi mtu yoyote bali inalinda mtangamano wa taifa mikutano imezuiwa kwa sab inakwaza maendeleo mikutano inasimamisha kazi inaleta chaos zisizo na maana kwa mfano ianze mikutano nchi nzima maana yake isimamishe kazi na kuleta taharuki nchi nzima kumbuka lowassa alivyochukua form alivyosimamisha dar kwahiyo unataka hiyo hali iendelee kila siku kazi itafanywa saa ngapi unataka ratiba za wageni wanaokuja kununua vitu kariakoo na kutalii waangalie ratiba za mikutano ya lowassa kabla hawajaja nchini kwa sab kazi siku hiyo zitasimama. Haiwezekani kila siku Tanzania ionekane iko kwenye kampeni tu maandamano na mikutano isiyoisha kila siku. Mikutano ya ndani inatosha.

Zanzibar Cuf hawakushinda uchaguzi ulifutwa kwa sab seif alijitangazia ushindi kinyume na taratibu. Walisusia wa marejeo kwa sab ya tamaa binafsi ya seif kwani yeye anataka urais lkn kasahau amewanyima wazanzibar hasa pemba kutumia haki yao ya msingi ya kuchagua hivyo kuishia kuwafanya wawakilishwe na wawakilishi ambao hawakuwachagua. Ni ubinafsi wa hali ya juu km aliona hawezi kupata urais angeshiriki uchaguzi wa wakilishi pekee ili haki ya wengine itimie kwa kupata wawakilishi sahihi.

Haahaaaa sasa kwanni hamkumkamata seif kwa hilo kosa la uhaini???

Kwanni jecha hakutaja hiyo sababu siku anafuta uchaguzi au unafkiri hatukuwepo kufuatilia hotuba yake

Kwanni alifuta mwenyewe bila kushauriana na tume ??

Hivi 1995,2000,2005,2010 zote hizo maalim alijitangaza mshindi?? Mbona bado mlipora haki yake??

Haya nikuulize maalim seif aliitisha press conference baada ya kuskia tume imesitisha kutangaza matokeo wakati yeye tayari alikuwa ana matokeo yote kuwa kashinda sasa ulitaka afanyeje wakati tayari tume ilikataa kutangaza??? Mbona january video zipo akitangaza magufuli kashinda urais hta kabla NEC haijafikisha 60% ya majimbo ya uchaguzi??? Kwanni kwa ccm sawa ila upinzani nongwa??

Hivi ina maana karume na dk salim walidanganya waliposema maalim kaporwa haki yake?? So u know better than them.

Msitafute visingizio sijui alijitangaza mbona uchaguzi wa marudio walipiga kura watu 50,000 nyie mkasema eti walipiga kura watu zaidi ya laki 2 bila hta aibu....... nyie kubalini mmepora haki na iko siku mtayalipia haya yote siku alshabaab au Al Nusra zikihamia zenji tusiskie mnaanza ushenzi wa eti tuombee amani miskitini asee hatutowaelewa kabisa. Ndipo hapo mtajua gharama ya amani ambayo somalia na libya wameikosa mpka leo kwa utawala wa kidikteta huku watu wana uchungu mioyoni

Haya mnasema mikutano watu hawatofanya kazi sasa kma mlilijua hilo kwanni msingeenda bungeni mkarekebisha sheria ya vyama vya siasa inayotoa haki vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano bila kubughudhiwa huyo MALAIKA wenu alitoa wapi mamlaka kuzuia kitu kikichowekwa na sheria za nchi hii?? Si angeenda bungeni mie nisingelalamika kwanni aamue tu yye alipoamka kitandani?? Thats insanity afu wwe unatetea??

Haya wale wa kijitonyama mnawaita wapika matokeo je LHRC pia wapika matokeo??? Kwanni mlichukua laptop zao??je kwanni msingewakamata na kina january pia muonyeshe usawa kuwa sheria ni msumeno?? We jamaa unakera sana mtafute mzee butiku angalau basi face to face akupe mawili matatu ya wizi wenu 2015 sio unakuja kutetea wakati wazee wa chama wanakubali mliiba kihuni kabisa au mnafkiri tunaposema tumeiibiwa hatuna habari za kutoka ndani ya chama chenu hicho??

Pia maalim hakushiriki sio tamaa wwe kwani mara ya kwanza hii anasusa?? Unakumbuka uhuni wenu mwaka 2000 au mnafkiri tumesahau sasa ingekuwa uchizi eti rais maalim aseme ameibiwa na jecha afu huyo huyo jecha ndio anasiamamia zec pia chaguzi za wawakilishi afu wawakilishi wangeshinda wahshagilie kuwa haki imetendeka?? We jamaa nsamehe for wat am about to say but ur insane like seriously
 
Haahaaaa sasa kwanni hamkumkamata seif kwa hilo kosa la uhaini???
Kwanni jecha hakutaja hiyo sababu siku anafuta uchaguzi au unafkiri hatukuwepo kufuatilia hotuba yake
Kwanni alifuta mwenyewe bila kushauriana na tume ??
Hivi 1995,2000,2005,2010 zote hizo maalim alijitangaza mshindi?? Mbona bado mlipora haki yake??
Haya nikuulize maalim seif aliitisha press conference baada ya kuskia tume imesitisha kutangaza matokeo wakati yeye tayari alikuwa ana matokeo yote kuwa kashinda sasa ulitaka afanyeje wakati tayari tume ilikataa kutangaza??? Mbona january video zipo akitangaza magufuli kashinda urais hta kabla NEC haijafikisha 60% ya majimbo ya uchaguzi??? Kwanni kwa ccm sawa ila upinzani nongwa??
Hivi ina maana karume na dk salim walidanganya waliposema maalim kaporwa haki yake?? So u know better than them.

Haya mnasema mikutano watu hawatofanya kazi sasa kma mlilijua hilo kwanni msingeenda bungeni mkarekebisha sheria ya vyama vya siasa inayotoa haki vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano bila kubughudhiwa huyo MALAIKA wenu alitoa wapi mamlaka kuzuia kitu kikichowekwa na sheria za nchi hii?? Si angeenda bungeni mie nisingelalamika kwanni aamue tu yye alipoamka kitandani?? Thats insanity afu wwe unatetea??

Haya wale wa kijitonyama mnawaita wapika matokeo je LHRC pia wapika matokeo??? Kwanni mlichukua laptop zao??je kwanni msingewakamata na kina january pia muonyeshe usawa kuwa sheria ni msumeno?? We jamaa unakera sana mtafute mzee butiku angalau basi face to face akupe mawili matatu ya wizi wenu 2015 sio unakuja kutetea wakati wazee wa chama wanakubali mliiba kihuni kabisa au mnafkiri tunaposema tumeiibiwa hatuna habari za kutoka ndani ya chama chenu hicho??

Pia maalim hakushiriki sio tamaa wwe kwani mara ya kwanza hii anasusa?? Unakumbuka uhuni wenu mwaka 2000 au mnafkiri tumesahau sasa ingekuwa uchizi eti rais maalim aseme ameibiwa na jecha afu huyo huyo jecha ndio anasiamamia zec pia chaguzi za wawakilishi afu wawakilishi wangeshinda wahshagilie kuwa haki imetendeka?? We jamaa nsamehe for wat am about to say but ur insane like seriously
Miaka yote cuf ilishindwa ndio maana hawakutawala. Hackers waliokamatwa ni vijana wa lowassa chini ya mwavuli wa lhrc hali kadhalika lhrc haikupata kibali cha kuchakata matokeo.
Makamba hana haja ya kutangaza ushindi alomtangazia nani aliwaita waandishi kama seif? Jecha alifuta uchaguzi kutokana na kasoro nyingine nyingi katiba ilimruhusu.
Kuhusu maandamano katiba haijasema yafanyike kwa namna yoyote lazima polisi itoe kibali kwa maana ya kuwa tayari kiulinzi wakiona usalama hautoshi katiba hairuhusu mkutano huo uendelee the same applies to president akiona maandamano hayana tija anaweza kuyazuia.
 
Akizungumza baada ya kkukutana na Rais Magufuli kanisani kwny Jubilee ya Miaka 50 ya Ndoa ya Benjamin Mkapa, Edward Lowassa kwa kinywa chake anasema alisalimiana na Mh. Rais Magufuli na hawakuzungumza zaid?

Inawezekana Chadema ikamtambua Rais Magufuli halafu Mgombea wake asimtambue?

Huwezi kuhudhuria Bunge na kutii kanuni zote za Bunge halafu bado ukasema humtambui Rais acha kujifariji!

Seif na CUF wametangaza hadharani kutokumtambua Rais Shein jee ushawahi kusikia tangazo Kama Hilo kwa Chadema na Lowassa wakitangaza kutokumtambua JPM?

Ingia youtube tafuta video inaitwa "lowassa- hatukubaliani na matokeo yanayotangazwa" lowassa kwa mdomo wale anakataa matokeo yanayomtambua magu kma rais.

Pia hta kma hatumtambui ila ndo hivo ile ni imani ya moyoni zaidi ila reality ndo hivo magufuli anatambuliwa na katiba kma rais so hta kma hatumtambui as an institution bado lazima tufuate tu masharti ya nchi kuwa procedure za katiba zinataka upitie kwa rais ni lazma tuheshim kwa mfano hta kma serbia haiitambui kosovo ila bado wakienda mikutank ya kimataifa lazma wazingatie itifaki na wataitaja tu kosovo kma nchi huru hta kma wao hawaitambui same applies to israel hawatambui nchi ya palestine ila wakienda UN bado wanaitaja kufuata protokali ila haimaanishi kitaasisi/kiserikali waisraeli wanamkubali palestina kma taifa.
 
Miaka yote cuf ilishindwa ndio maana hawakutawala. Hackers waliokamatwa ni vijana wa lowassa chini ya mwavuli wa lhrc hali kadhalika lhrc haikupata kibali cha kuchakata matokeo.
Makamba hana haja ya kutangaza ushindi alomtangazia nani aliwaita waandishi kama seif? Jecha alifuta uchaguzi kutokana na kasoro nyingine nyingi katiba ilimruhusu.
Kuhusu maandamano katiba haijasema yafanyike kwa namna yoyote lazima polisi itoe kibali kwa maana ya kuwa tayari kiulinzi wakiona usalama hautoshi katiba hairuhusu mkutano huo uendelee the same applies to president akiona maandamano hayana tija anaweza kuyazuia.
Leta hapa vifungu vya katiba vinavyomruhusu rais kuzuia mikutano acha utani kabisa
 
Ingia youtube tafuta video inaitwa "lowassa- hatukubaliani na matokeo yanayotangazwa" lowassa kwa mdomo wale anakataa matokeo yanayomtambua magu kma rais.

Pia hta kma hatumtambui ila ndo hivo ile ni imani ya moyoni zaidi ila reality ndo hivo magufuli anatambuliwa na katiba kma rais so hta kma hatumtambui as an institution bado lazima tufuate tu masharti ya nchi kuwa procedure za katiba zinataka upitie kwa rais ni lazma tuheshim kwa mfano hta kma serbia haiitambui kosovo ila bado wakienda mikutank ya kimataifa lazma wazingatie itifaki na wataitaja tu kosovo kma nchi huru hta kma wao hawaitambui same applies to israel hawatambui nchi ya palestine ila wakienda UN bado wanaitaja kufuata protokali ila haimaanishi kitaasisi/kiserikali waisraeli wanamkubali palestina kma taifa.

Rais hakataliwi kwa Tamko anakataliwa kwa Vitendo. Rais kateua Waziri Mkuu Wabunge wa Chadema wakapiga kura kuidhinisha/ kukataa pendekezo hilo.

Serikali inaleta Muswaada Bungeni mnashirikiana kujadili na kupitisha halafu unasema huitambui Serikali.

Rais anatembelea Maeneo ya Majimbo Wabunge wa Upinzani wanashiriki halafu unasema Hamumtambui Rais.

Edward Lowassa katoa tathmini ya Utawala wa Dr. Magufuli Mwaka mmoja angu awe Rais halafu Unakuja kutudanganya hapa eti humtambui Rais eti ushahidi upo YouTube
 
Back
Top Bottom