Recent content by pendosi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mtumbwi chazama Kigamboni, Watu watano wamefariki

    Yaani me mwenyewe nilipanda jana around same time..na ilikuwa my first time na baada ya kuvuka salama nikaapa sitarudia tena, namshukuru mungu sana kwa kutulinda..ni very risky..wale vijana wenye mitumbwi hawaeleweki yaani akili zao kama hazijatulia..wanachojali ni pesa tu..nimejifunza hata mtu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Uzoefu nilioupata kuchukua mkopo Standard Chartered

    We are on same boat, me nlikopa 11m 2013 hadi uishe nalipa about 20.5m..yaani hii bank najuta kuwafahamu..halafu wana tabia ya kuongeza riba katikati ya mkopo kiasi kwamba repayment period inazidi kuongezeka..nilichojifunza kabla hujachukua mkopo inabidi uwe umeshafanya careful...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga kigamboni

    Okay..ngoja niendelee kutafuta
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga kigamboni

    Habari, natafuta nyumba ya kupanga kigamboni..iwe maeneo ya kuanzia feri-mji mwema au hata kibada sio mbaya. Iwe na vyumba 3 vya kulala, sitting room, kitchen, fence etc..budget yangu ni 250,000. Mwenye nayo aniPM.
  5. P

    JamiiForums Tanzania NHIF na ubaguzi wa wategemezi

    Mwanasheria yeyote tu..me niliipata kwa lawyer wa kawaida
  6. P

    JamiiForums Tanzania NHIF na ubaguzi wa wategemezi

    Kwa mwanasheria
  7. P

    JamiiForums Tanzania NHIF na ubaguzi wa wategemezi

    Mimi nimemwingiza mdogo wangu as one of dependant..niliambatanisha affidavit of dependency as evidence..nadhani inakubalika or else itakuwa inategemeana na mwajiri
Back
Top Bottom