Recent content by Pendo Lucas

  1. P

    Mnaosema Yesu ni Mungu msisahau kuwa Yesu alikuwa fundi seremala ili kujipatia riziki yake

    Kuelewa ni jambo la muda. Muda ukifika utaelewa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    Utajiri wa masharti ni mateso

    Usipende kuhukumu usije nawe ukahukumiwa, kipimo hichohicho unachotumia kuhukumu wengine ndicho na wewe utahukumiwa nacho.
  3. P

    Morogoro: Wafanyakazi tisa wa LTSP[Wizara ya ardhi], wafariki kwenye ajali Kilombero

    Mimi ninaishauri Serikali iliangalie hili tatizo kwa umakini Mkubwa, na ikiwezekana wawarejeshe Kazini Madereva wazoefu waliondolewa kwa tatizo la Vyeti vya Kidato cha nne. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. P

    Nchi imekauka, mambo hayaendi...

    Na waliolima mbaazi ziko wapi na Korosho? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. P

    Nchi imekauka, mambo hayaendi...

    Waliofunga Maduka walikuwa hawafanyi kazi? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    Tundu Lissu ampaisha Kangi Lugola

    Anampaisha kwa lipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. P

    T.B. Joshua amebeba siri gani kifuani, anatumika

    Unajua hata wakati ule Yesu anafanya Miujiza mingi kama kuponya Wagonjwa na kutoa watu Pepo, walitokea pia watu kama nyinyi waliomwambia anatoa Pepo kwa nguvu za giza yaani anatumia nguvu za Berzebuli. Msafara wa Mamba lazima Kenge wawepo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. P

    Maombi maalumu kwa Mh. Rais John pombe Magufuli kuhusu kuepusha ajali za Magari ya Serikali zinazoendelea Nchini.

    Mh. Rais Ndugu John Pombe Magufuli. Kwanza kabisa napenda nianze na kukupongeza kwa kazi kubwa na ngumu unayoendelea kuwafanyia watanzania. Mh. Rais kwanza kabisa napenda niongee kwa heshima kubwa nikiwa kama mpiga kura wako na ni Mdhamini wako wa uchuguzi Mkuu katika Mkoa mojawapo Tanzania...
  9. P

    Maombi na ushuri kwa Spka wa Bunge ndugu Job Ndugai na Bunge lako Tukufu juu ya Ajali za Magari ya Serikali zinazoendelea Nchini.

    Mheshimiwa Spika na Bunge lako Tukufu kwanza niwapongeze kwa kazi kubwa mnayoendelea kulifanyia Taifa letu. Mheshimiwa Spika kwa heshima kubwa tunaomba Muishauri Serikari iwarudishe Kazini Madereva waloondolewa kazini kwa Masharti yoyote yale ili kuweza kunusuru Maisha ya watumishi wa Serikali...
Back
Top Bottom