Tatizo la kofia kuna watu ukikutana nao lazima uivue kisha uwasalimie.
Kuna mzee mmoja alikutana na padre kijana kabisa , sasa kiimani padre hata awe ni mtoto kiasi gani anakuwa kwako baba.
Huyo mzee wakati wa salamu kati yake na huyo padre kijana alivua kofia kama ishara ya heshima na...
Nimejifunza ndugu yangu,ingawa kwa gharama kubwa ila watu tusiwe wepesi kuhukumu, nyuma ya kuna mengi mno ambayo sisi tunayarahisha kwa kwa kauli nyepesi sana.
Kuna siku nilipata kuingia kwenye nyumba mtu mkubwa kimamlaka na kiuchumi, kilicho nipeleka ni kazi, na naamini miiko ya kazi yangu ni ya usiri , lakini hapa naomba nivunje mwiko hiyo.
Huyo ndugu ana mtoto mlemavu(mtindio wa ubongo)
Nyumba yao ni ya ghorofa kama 3 hivi na moja wapo ndio huyo...
Hongera kwao wazungu kwa maendeleo makubwa ya matibabu.
Ingekuwa huku kwetu!!!
Hata hivyo sijui makadinali pale Vatican sana kula nini, ni wachache sana ambao hawaumwi!
Hizi ndio habari zinazo haswa kuibuliwa hapa jukwaani, huwezi kuzipata popote isiyo hapa.
Unapo angalia kwa jicho la umakini unaweza kujua kwa nini nguvu kubwa ilitumika kuhakikisha madaraka yanakuwa mikononi mwao, kuanzia kwenye chama, upinzani, serikalini ni.
Tukiangalia namna viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.