Recent content by Pelekaroho

  1. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Fukuza hawa wafuatao ili Chama kibaki salama

    Operations kama hizo huwa ni top secret ndani ya mfumo na siyo kila mwanamfumo anapewa nafasi ya kushiriki katika jambo hilo, usiamini kila unachoambiwa na hao wanaojiita watu wa mfumo.
  2. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Lookman Sinza kimezuia baadhi ya Wanafunzi kufanya Mitihani ya kidato cha 4 2024

    Kituo kinaitwa Lookman, kipo Sinza Palestina
  3. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Lookman Sinza kimezuia baadhi ya Wanafunzi kufanya Mitihani ya kidato cha 4 2024

    Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba. Leo Alhamisi moja mitihani waliyofanya ni practical Biology. Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia watoto watano wasiingie kwenye mtihani wakiwa wamefika kituoni saa moja na dk 35 na mtihani umeanza saa nne.
  4. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

    Sasa umeshafanya maamuzi, umeamua kuleta hapa kwa ajili gani?
  5. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    If you could have quoted the rent fee you could have done justice to JF.
  6. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Nissan x-trail

    2m ipo, inachukulika mkuu?
  7. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wauza saa ⌚ tukutane hapa

    Weka tangazo,mahali ulipo bei ya saa na aina yake pamoja na namba ya simu karibuni. Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo; Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza Elezea hali ya bidhaa (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na...
  8. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Kodi ya miamala ya simu ifutwe ama ipunguzwe; itaongeza umaskini na kupunguza ajira

    Kumbe ulipoona sisiem imeshinda takribani viti vyote vya ubunge, ulielewa nini mkuu?
  9. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania TUMIA INTERNET BURE KABISA BILA MB WALA SALIO

    Achana na vitu vya bure, utakuja ibiwa.
  10. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Mkuu tairi unazo used?
  11. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu naomba mawasiliano
  12. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Watoto walifuata nini kwenye kuaga mwili wa marehemu. Haya mambo ya kutaka kuandika historia yanatakiwa kuwa nayo makini.
  13. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Kwani Mama Suluhu ni kabila gani?
  14. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania CRUTI ni mdudu"

    Hivi umeandika cruti au kuruta?
  15. Pelekaroho

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Mbona miaka yote ndo huwa inakuwa hivo kwa sisi tuliopiga kura chaguzi zaidi ya tano.
Back
Top Bottom