Recent content by Pelagia1

  1. P

    JamiiForums Tanzania ACACIA njia panda, yahaha kuficha ukweli wa uendeshaji wake

    Wanasheria Uchwara ndio wanaowakingia kifua wasio na huruma na nchi yao
  2. P

    JamiiForums Tanzania ACACIA njia panda, yahaha kuficha ukweli wa uendeshaji wake

    Ilinipita hii habari. Walipe kodi zetu kwanza. Ujanja ujanja wao kwisha. Mchanga umewaumbua sana. Bado hawajafuatiliwa kiundani wametumia misamaha ya kodi kinyume.
  3. P

    JamiiForums Tanzania ACACIA njia panda, yahaha kuficha ukweli wa uendeshaji wake

    Mpaka machozi yanatoka jinsi nchi yetu inavyofanywa kama njia ya kushibia
  4. P

    JamiiForums Tanzania High Court Judge: Acacia Mining playing tactics to defeat justice

    National Laws zipi? Kubebwa na Acacia ndio is fighting for the right causes. Some people are still blind kweli
  5. P

    JamiiForums Tanzania Niacheni niseme; Kama kweli ACACIA ni wezi basi tujadili

    Ifuatilie kesi vizuri haihusiki kuwakataza Acacia wasilipe. Amesaidia ukwepaji....
  6. P

    JamiiForums Tanzania High Court Judge: Acacia Mining playing tactics to defeat justice

    Hata alipounguliwa na ofisi Acacia walimhifadhi katika mjengo wao hapo victoria aliachiwa floor moja nzima na Acacia mpaka ofisi zake zilipomalizika ukarabati.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Acacia yapunguza wafanyakazi tena

    Lakini tumepata majibu sasa jinsi nchi yetu ikiibiwa. Kuanzia ukwepaji kodi, exemptions za kujuana matokeo baadhi wameonekana. Mungu asaidie hela zetu zirudishwe
  8. P

    JamiiForums Tanzania Niacheni niseme; Kama kweli ACACIA ni wezi basi tujadili

    Naona leo Barrick wamekubali kulipa zile za Noah zetu. Kweli watalipa?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Niacheni niseme; Kama kweli ACACIA ni wezi basi tujadili

    Hivi wameshalipa pesa zetu au imebaki historia?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Niacheni niseme; Kama kweli ACACIA ni wezi basi tujadili

    Hivi wameshalipa pesa zetu au imebaki historia?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Barrick confident it can nail down $300m deal as Acacia crisis resolution “a certainty”

    Yaani ni majizi. Wanaona ikulu pa kuingia tu ovyo ovyo. Walipe pesa zetu. Wakwepa kodi wakubwa.
Back
Top Bottom