Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
Walikopunguza ni acacia ya bulyanhulu au buzwagi?
Wamepunguzwa wafanyakazi wa bulyanhulu au buzwagi?kipi hujaelewa kisa tu imewekwa tetesi
Mambo
Ni zamu ya bata kuwakukula wao sasa.The problem is many employees never thought that one day the party will have to end and they will have to struggle again. So wengi ilikuwa ni mwendo wa kula bata. Sasa, as these things starts to bite, people are going crazy...
Walikopunguza ni acacia ya bulyanhulu au buzwagi?
KWAMBA HUJUI KUSOMA AU UMEAMUA TU KUULIZAWamepunguzwa wafanyakazi wa bulyanhulu au buzwagi?
Au kote hilo zoezi limegfanyika?
The problem is many employees never thought that one day the party will have to end and they will have to struggle again. So wengi ilikuwa ni mwendo wa kula bata. Sasa, as these things starts to bite, people are going crazy...
Pengine una ujinga wa kihalaiki.KWAMBA HUJUI KUSOMA AU UMEAMUA TU KUULIZA
nenda memkwa huo ujinga utakutokaPengine una ujinga wa kihalaiki.
mda mwingine bange mnazovuta zinawafanya mfanye kila kitu ni chepesi kama unavoandika comment...mnaharibu uchumi wa nchi hafu watu wakipunguzwa kazi unaharisha kipumbavu pumbavu tu..waliofukuzwa wana familia zao zinazowategemea wee kama unakula kwa shemeji yako funga domo na uendelee kushangilia kila ujingaSio lazima ichimbwe dhahabu. Wafanyakazi wakatafute kazi kwenye viwanda vingine vya extractive. Kuna watu wako wanachimba Limestones, Graphite hata mchanga. Yote hayo ni madini...
Don't be weaked mind.Usifurahie au kuona mwenzio akisimamishwa kazi.Ila kwa taarifa yako kama hujui wafanyakazi wa mgodini wako tofauti kabisa na wafanyakazi wa sekta zingine kama serikalini.Wafanyakazi mgodini kuacha kazi kwao ni jambo la kawaida kabisa.Hizi kazi ni ngumu japo hawatumii majembe ila mtu hawezi fanya muda mrefu.Na tukio hili lilivyotokea mwaka jana walivopunguzwa watu wengi walishangalia yaani wafanyakazi.Uliona wapi watu wanatangaziwa kupunguzwa halafu wanafanya sherehe kupongezana nadhani uliona kwenye TV.Kwa taarifa waliopunguzwa mwaka jana wafanyakazi 2000 asilimia kubwa wanafanya kazi kama ma expert migodi ya nchi za nje.Nchi yetu sasa tuna uzoefu wa miaka20 wa uchimbaji kwa hiyo watanzania sasa kimataifa tunachukuliwa tumeshakuwa na taaluma ya underground.Nenda migodi ya Congo,Mali,Shanta huko Mbeya,Eritrea,Mauritania,Guinea,Australia,Siera Leone huko ni watanzania watupu wamejaa huko waliotoka kwenye hii migodi waliopunguzwa na waliochoka kutaka kubadili kazi.Kiasili kazi za mining watu hawafanyi muda mrefu wanatabia ya kuzunguka sehemu mbali mbali kuongeza ujuzi.Mining is a rare profession my friend usidhani wanachimba kutumia majembe unavyofikiria wewe.Baadhi ya nchi kama Congo wananchi wake ni wavivu wapenda starehe hapo ndo watanzania wanapiga bao.Usidhani kazi ya mining unamuokota mtu barabarani kumuambia njoo uchimbe kuna mitambo inahitaji weledi mkubwa kuiendesha mingine inaendeshwa kwa remote control mahali binadamu hawezi fika.Ni ukweli usiofichika watu wa migodini wanapenda sana starehe hasa pombe hii sio kuwa wanafanya matanuzi sababu ni nature ya kazi yao.Mtu kukaa chini ya Ardhi kilomita 3 kwenda chini kwa wima hapo elewa gema inaweza shuka wakafa unafikiri akija juu akili inakuwa nzuri? acha wale vyao kazi zao zinatisha mnoThe problem is many employees never thought that one day the party will have to end and they will have to struggle again. So wengi ilikuwa ni mwendo wa kula bata. Sasa, as these things starts to bite, people are going crazy...
Lakini tumepata majibu sasa jinsi nchi yetu ikiibiwa. Kuanzia ukwepaji kodi, exemptions za kujuana matokeo baadhi wameonekana. Mungu asaidie hela zetu zirudishweDon't be weaked mind.Usifurahie au kuona mwenzio akisimamishwa kazi.Ila kwa taarifa yako kama hujui wafanyakazi wa mgodini wako tofauti kabisa na wafanyakazi wa sekta zingine kama serikalini.Wafanyakazi mgodini kuacha kazi kwao ni jambo la kawaida kabisa.Hizi kazi ni ngumu japo hawatumii majembe ila mtu hawezi fanya muda mrefu.Na tukio hili lilivyotokea mwaka jana walivopunguzwa watu wengi walishangalia yaani wafanyakazi.Uliona wapi watu wanatangaziwa kupunguzwa halafu wanafanya sherehe kupongezana nadhani uliona kwenye TV.Kwa taarifa waliopunguzwa mwaka jana wafanyakazi 2000 asilimia kubwa wanafanya kazi kama ma expert migodi ya nchi za nje.Nchi yetu sasa tuna uzoefu wa miaka20 wa uchimbaji kwa hiyo watanzania sasa kimataifa tunachukuliwa tumeshakuwa na taaluma ya underground.Nenda migodi ya Congo,Mali,Shanta huko Mbeya,Eritrea,Mauritania,Guinea,Australia,Siera Leone huko ni watanzania watupu wamejaa huko waliotoka kwenye hii migodi waliopunguzwa na waliochoka kutaka kubadili kazi.Kiasili kazi za mining watu hawafanyi muda mrefu wanatabia ya kuzunguka sehemu mbali mbali kuongeza ujuzi.Mining is a rare profession my friend usidhani wanachimba kutumia majembe unavyofikiria wewe.Baadhi ya nchi kama Congo wananchi wake ni wavivu wapenda starehe hapo ndo watanzania wanapiga bao.Usidhani kazi ya mining unamuokota mtu barabarani kumuambia njoo uchimbe kuna mitambo inahitaji weledi mkubwa kuiendesha mingine inaendeshwa kwa remote control mahali binadamu hawezi fika.Ni ukweli usiofichika watu wa migodini wanapenda sana starehe hasa pombe hii sio kuwa wanafanya matanuzi sababu ni nature ya kazi yao.Mtu kukaa chini ya Ardhi kilomita 3 kwenda chini kwa wima hapo elewa gema inaweza shuka wakafa unafikiri akija juu akili inakuwa nzuri? acha wale vyao kazi zao zinatisha mno