Mabeberu ni wa kudeal nao kwa tahadhari, Wakifukuzwa, wanafungua kesi halafu majaji ni weupe wenzao. Wanasubiri wafukuzwe na vipengelevya serikali kukiuka mkataba wanavijua , lazima tutawalipa . ni ukweli mchungu tuombe uhai tutaona .Mzungu hajashindwa na MTU mweusi tangu agundue baruti. Akikosa kipengele cha kisheria atakubana kwa hujuma ya kijeshi. Tuwe na tahadhari ya kukomboa bombardier yasijirudie. Hakuna mtu anaeshabikia mabeberu lakini ni vyema tukafanya mambo kwa tahadhari kubwa. Ya nini kulipa fidia kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app