Sio pesa kwa dpp jamaa kipindi hayo mauwaji yanatokea yeye alikuwa mahabusu tena magerza ndio ilimoeleka hospital kwa hiyo jamaa alikuwa chin ya ulinzi wa magerza. Ukisema umtie hatian lazima magereza nayo ilikuwa wapi mpaka mpango wa mauwaji unafanywa huko ndio mana jamaa ameachiwa
Sasa hivi polisi wapo nje ya ukumbi wa mkutano halmashauri ya hai wakimsubili mwenyikiti wa halmashauri ya hai akamatwe. Wamekuja hapa baada ya mbinu yao ya kwenda kumkamata usiku wa jana nyumban kwake kushindika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.