Recent content by pedzai

  1. pedzai

    JamiiForums Tanzania Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

    Khalida/khalid ashura/ashraf Jacline/jackson Jamila/jamali Sabra/sabri Munira/munir
  2. pedzai

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nauza asali ya nyuki wakubwa kwa bei ya jumla na rejareja karibuni
  3. pedzai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    👀
  4. pedzai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    😁😁😁
  5. pedzai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    8 Kailete ata me naisubiri 😁
  6. pedzai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bado tuu?
  7. pedzai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ni huzuni kwakwel😪
  8. pedzai

    JamiiForums Tanzania Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Sawa pesa umetafuta ww lakini umeangalia warithi wako umewaachia nini ? Mfano labda ww ndo ulikua tegemezi kwao inakuaje? Ufanye msiba wa kifahari ili umfaidishe nani? Baada ya siku kadhaa watoto,mke, wazazi wako wanataabika na wale uliowalisha vizuri msibani hakuna hata mmoja atakae saidi...
  9. pedzai

    JamiiForums Tanzania Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

    Usijaribu. ninazo zote 2 na zimeshakufa na nimezitumia kidogo saana
  10. pedzai

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Hijja ni lazima kwa kila muislam mwenye kuweza , umra sio lazima Hijja ina wakati maalumu lakin umra haina wakati maalum Nakumbuka izo tu kama nimekosea kukosoa ruksa
  11. pedzai

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

    Acha barabara ya tabora dar hakuna hoteli ya maana, vyakula vyakulala halafu bei juu
  12. pedzai

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mkuu nimekuchek pm naona kimya Sent using Jamii Forums mobile app
  13. pedzai

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Sorry Hao dagaa walokaangwa kabisa wakatiwa na viungo au ni wale wenye michanga wengine huwaita kauzu? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. pedzai

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za vifungashio vya bidhaa ndogo ndogo

    Ivo vya karatasi mara ya mwisho ,nilinunua 100 kwa pc 1 ,nasikia imepanda km si 150 Basi 200 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom