Recent content by Pedawa

  1. P

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Mithali 6:32 MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA;AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE AITAFUTIKA
  2. P

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Mjinga kabisa as bible says
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto Mzuri simuelewi anachotaka

    Anza biashara hata ya kuuza maji inaonekana huna kazi,
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Nakushauri upambane nae kipindi kikifika kwa kuchukua fomu, lakini kwa kuwa umewatukana hata wapigakura, jiandae kujikana mwenyewe
  5. P

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

    Tatizo uandishi wa kiutafiti Tz haukubaliki wandishi wetu wanaripoti walichokisikia bila kuchuja waache waandike hivyo hivyo
  6. P

    JamiiForums Tanzania Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

    Ndio maana kakupa akili na maarifa ya kujua lipi jema na baya
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ekari 5 zenye miti na ekari 4 tupu zauzwa

    Weka namba yako hapa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

    Mke mwema hupatikana kwa Mungu tu. hayo yote uliyoyaandika hayana ukweli wowote
  9. P

    JamiiForums Tanzania Imenikera sana, ukiomba unyumba unaambiwa nimechoka

    Hii sio adhabu sasahihi
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanataka hiki kwa mwanaume

    Nahisi shetani anakutamani had umefikia hapa, hakuna mahusiano yaliyofanikiwa kwa ulichokieleza
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Wenzangu hiki tunachokifanya hakina Baraka za Mungu

    Ukweli wa hili unao? Think before
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wamemtia hasara kubwa sana Lowassa

    Asee mimi nampongeza ameitikisa ile ngome iliyojipanga kurisishana uongozi kama wa kifalme vile. Hongera Lowasa uwepo wako umesababisha tupate kitu imara
Back
Top Bottom