Namba zake ni Sifuri, Saba, tano, tano, sifuri, sifuri, ziro, ziro mwisho ni Double O

Namba zake ni Sifuri, Saba, tano, tano, sifuri, sifuri, ziro, ziro mwisho ni Double O

Chukua hivyo vi3 na hivyo 6 jumlisha then tafuta wastan, hicho nusu sijui ndio utakifanyajeHukujifunza hesabu za wastan??
6+3=9Chukua hivyo vi3 na hivyo 6 jumlisha then tafuta wastan, hicho nusu sijui ndio utakifanyaje
Ngoja leo nisimamie mpka aning'ate menoHuwezi kujua girls wanataka nini we piga mpaka mwenyewe aseme inatosha
Anza biashara hata ya kuuza maji inaonekana huna kazi,Mkuu shule nyingi zinafunguliwa jumatatu tarehe 3 July, ila mimi nimemaliza chuo miaka mitatu iliyopita
Mkuu mimi nashinda shamba kila siku isipokua jumamosi na jpil, nadhani huo ushauri wape wale unaoshinda nao kule kwenye vioo vya BARBERSHOP na vijiwe vya supu ya pwezaAnza biashara hata ya kuuza maji inaonekana huna kazi,