Recent content by Pedagogist

  1. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    Dah wamekamata pesa za dr shika
  2. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Aisee utamu kunoga, mixer na utamu kolea
  3. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Nimemuona kipendacho roho JF

    Jamaa kashamaliza ubishi tayari.Emmyta umedondokewa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  4. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Hoja: Mjane kuishi na mume mpya katika nyumba yake ya urithi, je ni sahihi?

    Itabidi wakae mbali,wakapange au wakajenge hiyo nyumba waachie watoto wakae,kama ni wadogo wakae hata na ndugu,ila kidume kuishi kwenye nyumba ya mjane haipendezi kabisa yaani.
  5. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Nimemuona kipendacho roho JF

    Ndio jamaa anamzungumzia emmyta
  6. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Nimemuona kipendacho roho JF

    Jamaa atakuwa anampenda dada mmoja hivi nimeshamjua.
  7. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Kiukweli siwezi kuingia chumvini
  8. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye makalio madogo mnatuboa sana wapenzi wenu

    Mlianza vibamia, sasa hivi mpo kwenye makalio, na hamkawii kuleta jina la wenye makalio madogo au makubwa!
  9. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Paka wangu anazaa mnoo, nifanyeje wadau?

    Tafuta daktari wa mifugo hapo mbeya wapo wengi tu, wamfanyie operation ya kumtoa kizazi hiyo ndio komesha hakusumbui tena. Kama upo tayari kwa hilo sema nikupe namba zao.
  10. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Disemba 3, kila mwaka maadhimisho ya siku ya nyufa duniani

    Wamekusikia watalifanyia kazi
  11. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Naona kuna watu wanazitetea nyufa kwa nguvu zote hao lzm wawe TBA wazee wa maghorofa ya biscuit
  12. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Kunyimwa tendo la ndoa kunakera sana

    Kama anakunyima mara kwa mara basi ujue hana hisia na wewe na anachepuka.Ila kama ni mara chache sana inatokea basi huwa amechoka tu,hivyo inabidi ubembeleze kidogo akuonee huruma.
  13. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu jinsi ya kuishi na mwanamke bila kumpiga makonde

    Aisee mimi kumvumilia mwanamke siwezi kabisa yaani lazima nitampiga tu huwa na hasira sana nikiletewa upuuzi
  14. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

    Dah hizo ndoa hizi, mbona kazi! Hizo story zinatupa uoga sana wa kuoa mpaka leo nikipiga hesabu nimuoe mzazi mwenzangu roho inakataa.
  15. Pedagogist

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenzangu, usigombane na mwanamke mwenzako kisa ni mchepuko wa mume wako

    Umenifanya nimecheka sana aisee
Back
Top Bottom