Ndio mana kila siku analalamikia kazi ya ualimu, nenda kwenye jukwaa la habari mchanganyiko ukute mada zake ni lawama tuu kwa walimu wenzake mara mshahara hautoshi, Sasa mshahara wenyewe hauzidi laki tatu halafu laki mbili imeshaliwa na Kanji, hapo kinachofuata ni Sonona Mpwayungu Village
Huyu jamaa ni mwalimu kweli, ameajiriwa serikalini ila aavyowasema Sasa walimu wenzake kama vile yeye katoboa maisha kumbe anaweka mshahara kwenye betting.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.