Wakati wa Bwana YESU kusulubiwa pale msalabani wale askari waligawana mavazi yake wakayapigia kura kila mtu atwae nini ? Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Mtumishi wa Mungu anaishi maisha ya kifahari sana kupitia sadaka, wakati huohuo kuna maskini, yatima, wajane, wagonjwa wenyenye...
Huja nielewa mkuu kumsifu Mungu kwa kucheza na kuimba hiyo iko Kibiblia haikwepeke na wala haiepukiki. Biblia imenda mbali imetaja vyombo vya muziki/ala
. Sasa mtu mwenye ufinyu wa mawazo atakuambia zeze sio gitaa., matari sio ngoma na mdundo wake ni tofauti.
Au niseme hivi kinanda...
Kunena kwa lugha hii ni Roho Mtakatifu ambaye ni msaidizi YESU aliye waahidi kuwaletea wanafunzi wake baada ya yeye kuondoka na kupaa mbinguni.
Eloi Eloi pale msalabani ilikuwa nini? Maana hakika BWANA YESU alipaza sauti.
Kwa haya maswali yako inaonyesha kuwa umeelewa. Msifuni BWANA kwa matari na kucheza. Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya! Nimeipenda sana hii.
Angalizo lusifa kabla ya kuasi huko mbinguni alikuwa kwaya masta. Ndio maana muziki wa kidunia umeshamiri na una nguvu sana kuwa potosha...
Mleta maada inawezekana kabisa wewe ni msabato au unaujua usabato vizuri.
Na kuuliza maswali ya fuatayo;
Wasabato wana Biblia tofauti na wakristu wengine.
Je Biblia ya kisabato ina kitabu cha zaburi?
Kama inakitabu cha zaburi hebu soma zaburi 150.
Huo utukufu na sifa za Mungu...
Mbona kuna ambao wazazi ni makuli wanawapigia mapande watoto wao wanakuwa makuli hamsemi mnakuwa kimya tu.
Hii ni hulka tu ya wanadamu haiepukiki, ndio maana utaona watoto na wazazi wako katika harakati za kuusaka urais au kumuweka rais wanaye mtaka huko jamhuri ya kati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.