Recent content by peace2007

 1. peace2007

  Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

  Amen rafiki. Ubarikiwe
 2. peace2007

  Ni kwa neema tu

  Amen..
 3. peace2007

  Ni kwa neema tu

  Kabisa mkuu...wamshukuru Mungu aliyewaokoa katika hili...
 4. peace2007

  Sam Mahela pongezi kwako, hongera kwa ITV pia

  Azam wao wako kibitoz bitoz zaidi.....kimayai mayai....suti na kujiremba kwa wingi.....kidigitali I mean.....ingawa yule dada wa Arusha alikuwa akijitahiditahidi! Ilimradi ITV na Azam TWO wametupa ladha tofautitofauti za coverage ya Uchaguzi...Hongera zao wote kwakweli!
 5. peace2007

  Kuangushwa kwa mawaziri na manaibu waziri tumepata somo?

  1. Chiza 2. Wassira 3.Kebwe 4. Kilango 5. Fenella 6. Mwanri 7. Nundu 8. Zambi
 6. peace2007

  Baada ya Uchaguzi Mkuu tujiandae kushuhudia mnyukano CHADEMA

  Utabiri wa mvua za El-nino ulisema zinaanza lini.....
 7. peace2007

  Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

  Sorry, hivi David Mathayo ni wa Same Magharibi? Si ameshinda tena?
 8. peace2007

  Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

  Hivi hawa Mabula, wa Nyamagana na Ilemela ni ndugu au vipi? I'm just curious.......
 9. peace2007

  Saed Kubenea: Wanataka kutangaza matokeo ya Urais kwanza

  With what I'm seeing happeningnifah anything is possible under the Sun....
 10. peace2007

  Kipanya kanichana mbavu zangu usiku huu kwa katuni zake. Check hii hapa

  Watu wanazungumzia kujengamadaraja wakati watu wana njaa...kwani watu watakula madaraja...watu wana njaa...kweli si kweli....???? WATU: Kweliiiiiii....
 11. peace2007

  Ni mikoa ipi hadi sasa ni ngome ya CCM??

  Kibanda maiti
 12. peace2007

  Magufuli ametumia muda mfupi sana kuivuruga ngome ya Lowassa

  The king of copy and paste......
 13. peace2007

  Leo TANESCO mmetuweza

  Arusha ni hataree, naona TANESCO wana hasira na Arusha....
Top Bottom